GE2025 Gerson Msigwa: Serikali itahakikisha hakuna 'mtu wala sisimizi' wa kuwazuia Watanzania kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura.

Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa Ameeleza Kwenye Mahojiano Na #JioniYaLeo

Kiburi cha madaraka!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Uyu dogo aliokotwa majararani uko na magu leo anajifanya mwamba tupo hapa
 
Wanahisi watakuwepo milele, ajaribu kuweka akiba ya maneno , Polepole alitegemea kupata malipo yale?
 
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi -============== Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura. Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa Ameeleza Kwenye Mahojiano Na #JioniYaLeo
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako

Wantahangaika sana. Wao si waende tu kupiga kura. Wanaotoka 29 hawajasema wanaenda kuwaxuia wanaotaka kutiki.
 
Back
Top Bottom