Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Msigwa naamini ww ni mwandishi toka Tanzania. Naamini umesomea nchini Tanzania. Naamini pia ili uwe mwandishi ni vema ukaijua historia ya nchi yako. Mm nakutuma hapo ikulu ingia maktaba hapo ikulu tafuta RANGI HALISI ZA BENDERA YETU YA TAIFA. hii ni kuanzia 1964/01/12 hadi tarehe 25/10/1985. Kisha uwashauri watendaji wa serikali wanaoshughulikia kitengo cha bendera ya Taifa kuwa makini. Ktk kipindi cha rais mstaafu J.Kikwete tumeanza kushuhudia rangi ya mgomba mchanga (apple green) na blue mpauko zikitumika ktk bendera yetu. Hilo ni kosa kubwa. Rangi za bendera yetu ni kichaniwiti (deep green) na bluu (navy blue). Tafadhali saidia. Hata vitabu vya zamani vya serikali vina ile ngao. Hapo utaona rangi halisi.
Asante.
Asante.