Gerson Msigwa na makosa ya kiuandishi katika taarifa zitokazo Ikulu

yaani unaona kabisa taarifa anaindika haraka haraka kwenda kwa walaji kwa staili ya kukurupuka na haraka mno..

ili aonekane yy ni mtendaji kazi mzuri, coz ametokea kwenye kukaimu, sasa anataka kumuonyesha mkuu akukosea kumtoa kwenye kukaimu na kuwa mkurugenz mkuu ila aliyekuwa mkuu wake hakuna anastaili....

kumbe anaharibu, hata mm ni muhandisi naona makosa mengi, wala sio neno Major peke yake, hata mpangalio wa taarifa yake haupo consistency...
 
Hivi wakuu, huyu Greyson Msigwa ataacha lini kuandika haya makosa katika taarifa nyeti kama hizi kutoka ikulu?

f936b50783be5581abe437fa6059edfe.jpg


Je, katika kiswahili kuna Major Jenerali?

Siyo Meja Jenerali?

Tena cha kushangaza, hiyo Major Jenerali ameirudia zaid ya mara moja.

Inasikitisha sana mtu unaandika page moja na unashindwa kuihariri.

Na siyo katika hili tu, Msigwa amekua akifanya makosa mengi sana ktk taarifa mbali mbali nyeti kutoka ikulu.

Naombeni kujua kiwango chake cha elimu

Pengine hana weledi wa haya mambo
Tatizo kajizoeza kutumia spelling suggestions za kwenye android
 
Kuchanganya lugha sidhani kama ni makosa kwani Kiswahili kina upungufu mkubwa wa maneno. Maneno mengi tuyatumiayo kwenye Kiswahili ni ya lugha ya Kiarabu. Kuandika Major badala ya Meja sidhani kama ni kosa linalobadili maan kusudiwa!
Mwambie huyo hater
 
Acha chuki binafsi wewe...we mbna unachanganya ngeli na kiswahili?
Page ndo nini?
Kilichokushnda kusema kurasa ni nini? Ama ili tukuone we msomi sio?
Ok tuanze na wewe...tuambie NGUMBARO ulimaliza lini?
ALIPASWA KUMSAHIHISHA KWA LUGHA YA KIUUNGWANA . HOJA YAKE INAGEUKA KUWA CHUKI PALE ANAPOKOSOA KWA KUTUMIA LUGHA YA MISULI MINGI ILIHALI JAMBO ALILOLILETA LILIHITAJI UUNGWANA ZAIDI YA UKOSOAJI, NAAMINI UMEMSAIDIA KWA MITHALI ILE."......HAONI KUNDULE"
 
Kuchanganya lugha sidhani kama ni makosa kwani Kiswahili kina upungufu mkubwa wa maneno. Maneno mengi tuyatumiayo kwenye Kiswahili ni ya lugha ya Kiarabu. Kuandika Major badala ya Meja sidhani kama ni kosa linalobadili maan kusudiwa!
Makosa ndiyo yapo, ila kazidi kwa makosa. Hivi umakini unskosekana vipi kwa taarifa nyeti km hizi?
 
Haaa sikuona vema...huuu uzinguaji...anachanganya kipande kimoja kiingereza na kipande cha pili kiswahili....ukosefu wa umakini hapa ni "YOUR FIRED"
 
Kabla ya kuwa hapo Ikulu,alikuwa kwenye shirika letu la habari Tbc,
 
Pia nilisikiaga ya kuwa maneno fasaha ya kiswahili (hasa yasiyopoka toka lugha nyingine) yote huishia na irabu (a, e, i, o, u). Neno RAIS, ningekuwa mimi ndiye bwana Msigwa, ningeandika RAISI...
 
Back
Top Bottom