gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Hivi wakuu, huyu Greyson Msigwa ataacha lini kuandika haya makosa katika taarifa nyeti kama hizi kutoka ikulu?
Je, katika kiswahili kuna Major Jenerali?
Siyo Meja Jenerali?
Tena cha kushangaza, hiyo Major Jenerali ameirudia zaid ya mara moja.
Inasikitisha sana mtu unaandika page moja na unashindwa kuihariri.
Na siyo katika hili tu, Msigwa amekua akifanya makosa mengi sana ktk taarifa mbali mbali nyeti kutoka ikulu.
Naombeni kujua kiwango chake cha elimu
Pengine hana weledi wa haya mambo