GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,824
- 109,518
Sawa bwn Chloromphenical, sorry Gentamycine, umenena vema kbsKwa tunaojua ' Saikolojia ' ya Mheshima Rais hapa pale pakiwa na jambo fulani linalomtatiza na lililoanzishwa na Wapinzani au Wapingaji huwa akipewa nafasi ya Kuongea hutoka kabisa nje ya ' Key ' na kuanza kuwa ' emotional ' au ( Kujaa Upepo ) hali ambayo huwa inamuharibia sana.
Leo maaskofu
Wapinzani wajiandae kupewa vidonge vyao
Leo anatoa dozi kavumilia wiki hizi kusemwa semwa
Subiri niandae bisi zangu
Leo maaskofu
Wapinzani wajiandae kupewa vidonge vyao
Leo anatoa dozi kavumilia wiki hizi kusemwa semwa
Subiri niandae bisi zangu
Alafu mwisho wa siku wanaandika mapato ni billion 3 kwa mwaka bila kutuandikia matumizi ambayo utakuta hata ni billion 9.Sasa hio ndege wanaipa promo hivyo utadhani wamefungua space mission.
Naona ni ulimbukeni
Nani mwenye ubavu wa kumzimia!!!Huyu lands wamzimie mic vinginevyo mtasikia madudu mtupu!
Hata mimi nakubaliana na hoja hii. Kusoma zilizoandikwa ni sawa na una kiu ya maji halafu maji anapewa mwingine anywe huku wewe unamwangalia. He itakata kiu chako?Sasa watamdhibiti vipi wakati akisoma. Labda useme wamsomee lakini alishasema yeye kusoma hotuba aliyoandikiwa huwa anaona siyo yeye anayeongea isipokuwa anasema maneno ya wengine ndio maana huwa hapendi kusoma za kuandikiwa.