Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?Ukikaa kimya utaonekana mjinga ila utaepusha mengi
Wafa maji hao waache watapetapeUkikaa kimya utaonekana mjinga ila utaepusha mengi
Huyu fala naye atatoa ufafanuzi gani mpuuzi tu.
Ni bora ukanipe hogo mie nijiliwaze.Ufafanuzi wa Kipumbavu kutoka kwa Mpumbavu