Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,386
- 108,080
Kama tuna akili (japokuwa all evidence points to the contrary) hii kitu tungeikataa kwa nguvu zote. Mjerumani aje ajenge kiwanda cha mbolea za kemikali hapa kwetu!!? Yani ndio tunatia sumu ardhi yetu forever and nothing will grow naturally ever for once you start using hio fertilizer ndio itakua hivyo milele. Jamani mbona kwao wanapinga vyakula vilivokuzwa na chemical fertilizers? Ni kwamba wana roho nzuri kiasi gani watuletee sisi? Watanzania tukataeni hizi "investments" za kutuua! Hawa watu weupe ni lini walifanya kitu kwa faida yetu? Ni lini tutajifunza? Kwanza sisi hatufi njaa, mbolea yao tunahitaji ya nini? Vizazi vijavyo vitakuja kutulaani sana!
ficha upuuzi wako! nani kakwambia kiwanda kitajengwa Dar? na kitafanya uchafuzi?Ila kinachonishangaza kwa hawajamaa ni kuweka kiwanda cha mbolea Dar? Kwani dar ndo kuna mashamba ya kilimo?
ficha upuuzi wako! nani kakwambia kiwanda kitajengwa Dar? na kitafanya uchafuzi?
sielewi wakati mie ndiye niliyei-post? :loco:Mpuuzi mwenyewe, hata hayawani ana afadhali. Kama huelewi hata kilichoandikwa acha, siyo lazima kuchangia. Bichwa kama kitimoto..
sielewi wakati mie ndiye niliyei-post? :loco:
Ewe, naamini wewe ni mmoja ya wale "to the contrary".
Ila kinachonishangaza kwa hawajamaa ni kuweka kiwanda cha mbolea Dar? Kwani dar ndo kuna mashamba ya kilimo?
ficha upuuzi wako! nani kakwambia kiwanda kitajengwa Dar? na kitafanya uchafuzi?
Mpuuzi mwenyewe, hata hayawani ana afadhali. Kama huelewi hata kilichoandikwa acha, siyo lazima kuchangia. Bichwa kama kitimoto..
sielewi wakati mie ndiye niliyei-post? :loco:
Unaweza kupost na usielewe pia. Kucopy na kupaste ndo kuelewa?
dar imetumika kama economic hub na si exact location of the plant! ukisoma habari yote hamna specifics za kusema itajengwa Dar na ninaamini itajengwa anywhere around the cost (Mtwara au Lindi) except DarWaheshimiwa, nadhani tunaweza tu tukaeleweshana kwa lugha za kistaarabu.
Ukiangalia jinsi kichwa cha uzi kilivyokaa, kinasema......plant in Dar.
Hata mimi nimeelewa hivyo, na kama hawamaanishi hivyo tungeweza kupewa maelezo kwa utaratibu.
Kwa nini wanawake wengi wa mavazi haya wana IQ ndogo sana dunia nzima.