German solar power plants produce record 22 gigawatts per hour

German solar power plants produce record 22 gigawatts per hour

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Ni lini Tanzania tutaachana na kutegemea nishati kama za maji na zingine zinazoisha kama gesi na mafuta wakati tuna jua kali sana. Tanzania tuna bahati ya kuwa karibu na equator, sehemu ambayo inafanya tuwe na jua kwa masaa mengi sana. Inabidi tubadilishe mtazamo wetu.




German solar plant.jpg


German solar power plants produced a world record 22 gigawatt s of electricity per hour ~ equal to 20 nuclear power stations at full capacity ~ through the midday hours last Friday & Saturday.

http://www.reuters.com/article/2012/05/26/us-climate-germany-solar-idUSBRE84P0FI20120526
 
Bado hatujapata wafadhili wa kutuelimisha kuwa jua linatoa umeme na kuwa sisi waTZ tunalo jua karibu mwaka mzima. Kisha bado hatujapata mfadhili wa kutununulia hizo solar panels and kuzifunga
 
Bado hatujapata wafadhili wa kutuelimisha kuwa jua linatoa umeme na kuwa sisi waTZ tunalo jua karibu mwaka mzima. Kisha bado hatujapata mfadhili wa kutununulia hizo solar panels and kuzifunga

Tunachohitaji ni ELIMU! Wafadhili wa nini? Acha slave mentality bhanaaaa!
 
Si mimi mwenye slave mentality, bali watendaji ndiyo wenye slave mentality. wanadhani unene ni lazima uwe generated na maji, lakni tuna rasilimali ya jua lisilokuwa na gharama. jaribu kupeleka wazo hilo kama hujaambiwa hatuna wafadhili!
 
Siku siasa itakapo tenganishwa na mambo ya kitalaam ndio siku tutakayo-anza kundelea. Tanesco inashindwa kufanya vizuri kwasababu wanasiasa ndio wanayoiendesha na sio wanataaluma.
 
Back
Top Bottom