German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu

Nani aliye omba vita visimame
Iran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.

Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
 
Alisikika kiazi mmoja akisema
 
Una udugu na shetani wewe kwanin unaongea uongo au unafkiri unaefatilia ishu za vita ni wewe tuu eishiiio
 
Isije ikawa wewe ndio mjinga

Ile vita ya siku 12 ulikuwa unaifuatilia au ulikuwa unahadithiwa au ulikuwa bado upo kwenu Chunya maana watu wanasema mjini shule

We unamsikia Netanyau Sasa hivi anachonga chonga kuhusu Irani?

Baada ya Ile vita kuisha Israel waliwahi kuenda tena na vindege vyao kuvizia kuuwa maofisa?

Hilo jengo la kitivo Cha science la Israel zilitua missile hapo hata panya waliyokuwepo hawakutoka salama

Netanyau alipoenda kuangalia hapo machozi yalimtoka

Broo Iran ingekuwa wanyonge kama Venezuela sahizi Israel na Marekani wangekuwa wameshaingia na kupora Kila kitu kama wanavyoiba mafuta kule Venezuela
 
Attachments

  • Screenshot_20260226-110958.jpg
    Screenshot_20260226-110958.jpg
    120.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260226-110809.jpg
    Screenshot_20260226-110809.jpg
    72.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260226-110715.jpg
    Screenshot_20260226-110715.jpg
    75.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260226-110617.jpg
    Screenshot_20260226-110617.jpg
    148.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20260226-110546.jpg
    Screenshot_20260226-110546.jpg
    144.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20260226-110417.jpg
    Screenshot_20260226-110417.jpg
    56.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20260226-110219.jpg
    Screenshot_20260226-110219.jpg
    126.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20260226-110417.jpg
    Screenshot_20260226-110417.jpg
    56.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20260226-110219.jpg
    Screenshot_20260226-110219.jpg
    126.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260226-110143.jpg
    Screenshot_20260226-110143.jpg
    81.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260226-110036.jpg
    Screenshot_20260226-110036.jpg
    92 KB · Views: 4
  • Screenshot_20260226-105955.jpg
    Screenshot_20260226-105955.jpg
    83.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20260226-105859.jpg
    Screenshot_20260226-105859.jpg
    87.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20260226-105618.jpg
    Screenshot_20260226-105618.jpg
    135.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260226-105434.jpg
    Screenshot_20260226-105434.jpg
    181.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260226-105324.jpg
    Screenshot_20260226-105324.jpg
    110.4 KB · Views: 6
Waambie Trump na Shoga yake Netanyahu waingie dimbani. Tumezichoka hizo promo zao za kila siku Maneno hata kwenye kanga yapo!!
 
Isije ikawa wewe ndio mjinga

Ile vita ya siku 12 ulikuwa unaifuatilia au ulikuwa unahadithiwa au ulikuwa bado upo kwenu Chunya maana watu wanasema mjini shule

We unamsikia Netanyau Sasa hivi anachonga chonga kuhusu Irani?

Baada ya Ile vita kuisha Israel waliwahi kuenda tena na vindege vyao kuvizia kuuwa maofisa?

Hilo jengo la kitivo Cha science la Israel zilitua missile hapo hata panya waliyokuwepo hawakutoka salama

Netanyau alipoenda kuangalia hapo machozi yalimtoka

Broo Iran ingekuwa wanyonge kama Venezuela sahizi Israel na Marekani wangekuwa wameshaingia na kupora Kila kitu kama wanavyoiba mafuta kule Venezuela
Ni kweli bila shaka wakati wa vita kijana alikuwa chunya anatafuta maji visimani, na ndiomaana ameandika comment alizohadithiwa na wanavijiji wenzake bila kujua kama ni matango pori.
 
Iran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.

Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
Ni kweli kabisa. Hivi ndivyo ilivyokuwa.
 
Alieomba ni Israel kwa kumbembeleza Qatar, Iran akajibu bado si wakati wakuongelea ceasefire, na badaye US akaingilia kati. We uliwahi kuona Israel anaheshimu ceasefire? Ceasefire pekee kaiheshimu ni hio ya Iran.

View: https://youtu.be/gkYQgnfZlE0?si=s5oN7PXOACbsQMwD
 
Back
Top Bottom