Gereza zuri kuliko yote

Gereza zuri kuliko yote

Do! ebwana weee! kama lingekua lipo Bongo,kwa maisha yetu na hali ya maisha yalivyo,mbona ningejitafutia kesi hata ya kubaka kuku mchana kweupeee alimradi nifungwe jela hio.kama hali ya jengo ndo hivyo fikiria huo msosi wake,Aaaaaaa sipati picha.
 
Zhao wa nataka tu kuhalalisha uhalifu kwa mazingira hayo wachovu wataroba wapate kwenda
 
kama maisha mtaani ni magumu unaandika barua ya kuomba kupelekwa jela
 
Back
Top Bottom