Ndiyo camp ya kwanza kujengwa, ilipewa hilo la camp X-Ray maana kambi za jeshi na zenyewe zina majina..So gereza la kwanza lilipewa ilo jina hapo U.S. Naval Base Guantanamo Bay, Cuba.
Ila baadae wali ifunga hiyo hiyo camp x- Ray maana ilikuwa temporary wakajenga hiyo mpya ya kudumu ambayo ipo mpaka sasa ina itwa camp delta.
Ila mimi naona ilo sio gereza ni kambi ya jeshi inayo shikilia wafungwa maana mziki unao tendeka huko sio wa kitoto. Ila ukipelekwa humo ndani kuna camp kama 6 ni wepesi wako tu wa kuonyesha ushirikiano ukitoa information wanazo taka una hamishiwa camp ya kula maisha una chagua mwenyewe unataka ule nini.ila ukiwa mbishi hehehehe utapingwa mbupu mpaka na mbwa.
Niliskia 2019 walikuwa wanajenga camp 7 hiyo kwenye chumba chako wanakuwekea mpaka tv.
Sent from my SM-J260F using
JamiiForums mobile app