Wadau,
Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar,
Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha,
Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3,
Pia ukiwasha inachelewa kupotea japo plug na petrol filter nimeweka mpya
Subaru impreza sportwagon cc1500 year 2005
Msaada tafadhali