Gereji nzuri ya Subaru

M

Manosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
4,408
Likes
2,498
Points
280
M

Manosa

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
4,408 2,498 280
Wadau,

Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar,

Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha,

Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3,

Pia ukiwasha inachelewa kupotea japo plug na petrol filter nimeweka mpya

Subaru impreza sportwagon cc1500 year 2005

Msaada tafadhali
 
Safety last

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
4,235
Likes
189
Points
160
Safety last

Safety last

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
4,235 189 160
Ngoja waje Mkuu mm nna Subaru Forester
 
Dj mat

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
705
Likes
269
Points
80
Dj mat

Dj mat

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
705 269 80
Wadau,

Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar,

Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha,

Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3,

Pia ukiwasha inachelewa kupotea japo plug na petrol filter nimeweka mpya

Subaru impreza sportwagon cc1500 year 2005

Msaada tafadhali
Mtafute huyu jamaa ni fundi mzuri sana kama upo hapa Dar 0754811820/0713155091
 
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Messages
607
Likes
184
Points
60
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2009
607 184 60
Mtafute huyu jamaa ni fundi mzuri sana kama upo hapa Dar 0754811820/0713155091
mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sana
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
33,044
Likes
20,546
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
33,044 20,546 280
Dogo huyo bonge Yuko vzuri Kwa subaru..Hapo kino adaestate

OVA
mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sana
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sana
So between the two we unachagua hiyo ya Karume? Bei zake zikoje huyo wa Karume?
 
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Messages
607
Likes
184
Points
60
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2009
607 184 60
So between the two we unachagua hiyo ya Karume? Bei zake zikoje huyo wa Karume?
kama unavyojua garage bubu bei maelewano na fundi, na ukubwa wa kaz... si unajua garage za mtaani kufahamiana kwako na fundi ndio unafuu wa bei
 
K

keyjr12

New Member
Joined
May 31, 2018
Messages
4
Likes
1
Points
5
K

keyjr12

New Member
Joined May 31, 2018
4 1 5
Ilala bungoni kuna wataalam wa subaru
 
Forum statistics

Threads 1,250,894
Members 481,523
Posts 29,749,882