Gereji nzuri kwa ajili ya gari Nissan mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
805
Ninahitaji gereji nzuri ya gari aina ya Nissan iliyo mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza.

Natamani iwe yenye wajuzi wa kutengeneza gia boksi na injini.
 
Auto siwezi kukudanganya namfahamu mchawi wa manual pekee mwanza nzima
Kuna gari linalotumia umeme linapoteza kumbukumbu.
Yaani kuna wakati linapoteza nguvu.
Ukiondoa 'terminal' kwenye betri kisha kuirudisha inapata nguvu.
Naweza kupata mtaalamu.
Nadhani wa umeme ananifaa zaidi.
 
Kuna gari linalotumia umeme linapoteza kumbukumbu.
Yaani kuna wakati linapoteza nguvu.
Ukiondoa 'terminal' kwenye betri kisha kuirudisha inapata nguvu.
Naweza kupata mtaalamu.
Nadhani wa umeme ananifaa zaidi.
Ungekuwa Mbeya au Iringa ningekuelekeza, Kuna fundi ukimuona huwezi kumdhania , yupo yupo tu ! Hajawahi shindwa kazi na sio mbahatishaji
 
Back
Top Bottom