gereji inauzwa morogoro

gereji inauzwa morogoro

twatwatwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
2,066
Reaction score
421
eneo la geleji linauzwa. Linaukubwa wa mita 70 kwa 35. kwa sasa kuna shughuli za ufundi wa magari zinaendelea. Uzio hupo na upande wa mbele kuna geti na vibanda vya biashara. Eneo limepakana na gereji zingine. Gereji hipo barabara ya mazimbu inatizamana na idara ya maji. MOROWASA na PECOH. Bei mil 350 kwa anayeitaji apige namba hii 0713803406
 
Back
Top Bottom