mishalejuu
Senior Member
- Jun 27, 2012
- 196
- 28
Bado mnasikiliza hiyo radio?pole.wanawekaga issue binafusi hata akigombezwa huko mtaani inakuwa story akikamatwa na askali kwa makosa ya barabarani inakuwa kelele mpaka mpinga aje,wajinga sana,wamuombe kipanya arudi aokoe jahazi
tufiakwa!!!! Najitemea mate kifuani! Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!watangazaji wa clouds fm ni chakula cha ruge, si wanawake tu, mpaka wanaume kama hao kina hando... Kwa hiyo sishangai hando ku-behave like that, ruge ameshawaaribu....
Hizi akili za kuunganishaunganisha taabu kweli. Hivi hata madaktari waki vunja mgomo wao na kurudi kazini hatafu hakuna dawa, vifaa vya kutibia hakuna,wagonjwa wanalala mzungu wa nne na kuambukizana magonjwa ina faida gani?
Hakutenda haki kwa nini alifanye personal na Dr. Ulimboka ikiwa anatumia redio na mwenziye hayupo kujitetea? angesubiri apone ili amwite ndo amwambie uso kwa uso. Kwa hili inabidi ajirekebishe huyu Gerald Hando.
Kima wee!:israel:Huyo Ulimboka hata angekufa I dont care, maana hata mimi ndugu zangu wengi wamekufa pale Muhimbili kwa sababu yake. So bila bila!!!
Anselm, mleta mada Frozen ameeleza kwa ufasaha sana ukimsoma vizuri.Nilimsikiliza kwa uzuri sana Gerald Hando kwenye kile kipindi,Hando kama Hando alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania yeyote wa kawaida isitoshe kilichosemwa na Hando kinaweza kuwakilisha mitazamo ya watu wengi sana including I, myself, ni kwa vile tu hatuna pa kusemea tukasikika na wengi kama Hando,ni lazima tukubali watu wameathirika sana kutokana na hii migomo ya madaktari,kama haukukugusa wewe ksbb una uwezo wa kwenda Hospital kubwa za Private ukafikiri kila mtanzania ana uwezo huo...anyway nisimsemee ngoja aamue mwenyewe kama anafikiri analazimika kuomba radhi kwa maoni yale.
Nilimsikiliza kwa uzuri sana Gerald Hando kwenye kile kipindi,Hando kama Hando alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania yeyote wa kawaida isitoshe kilichosemwa na Hando kinaweza kuwakilisha mitazamo ya watu wengi sana including I, myself, ni kwa vile tu hatuna pa kusemea tukasikika na wengi kama Hando,ni lazima tukubali watu wameathirika sana kutokana na hii migomo ya madaktari,kama haukukugusa wewe ksbb una uwezo wa kwenda Hospital kubwa za Private ukafikiri kila mtanzania ana uwezo huo...anyway nisimsemee ngoja aamue mwenyewe kama anafikiri analazimika kuomba radhi kwa maoni yale.
hamna shaka kwa namna moja au nyingine kupigwa na kutekwa kwa dokta ulimboka kunatokana maneno ya kuhamsha na kuchochea hasira kwa dkt ulimboka yaliyofanywa na kituo cha radio cha clouds fm ktk kipindi cha power breakfast,segment ya jicho la ngombe majuzi,bwana gerald hando kwa makusudi au kwa kutokujua impact ya radio kwenye kurusha maneno ya chuki na kumkosoa mtu tena kwa kumuita jina lake moja kwa moja bila kufikiria reactions na response za watu kwa mtu husika. bwana hando alimsema sana bwana dkt ulimboka kwamba anapenda sifa, umaarufu,anatakuwa shujua ili sanamu lake liwekwe muhimbili..na maneno mengi ya ajabu ajabu, ambayo mtu yeyote ambaye ameguswa na mgomo wa madaktari angeweza fanya kitu chochote kumdhuru dkt ulimboka. Gerald hando na watangazaji wa radio clouds fm kuweni makini na lugha zenu, acheni unafiki, kumbukeni hata kama mnadhani hakuna watu wanaoweza kuwachukulieni hatua , hasira za watu na malalamiko yao kwenu personaly si jambo jema, wote tunajua mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, na hata serikali kama inashindwa tatua maombi ya madaktari kwa wakati mmoja. waonyeshe tu commitment ya dhati ya kutatua kero za madaktari tusingekuwa na migomo hii, plz gerald hando , angalia maneno yako brother , radio ni very powerful too , inaweza kuwa very destructive isipotumiwa kwa weredi
Hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.
Yatakukuta subiri....