sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,251
- 4,539
View: https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha movements kisha watu wa mamlaka wanamuita kufanya bargaining.
Binafsi najiuliza, Kama Lissu anaendelea kumtukana Mbowe ni lini atamuacha huyu mzee wa watu apumzike.