and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,503
- 40,341
Mcheza mpira maarufu Afrika George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia....Magazeti yetu nchini kimyaa! Waandishi wetu ni vilaza wamekalia habari local za kipuuz
Wenger kasema yupo busy na kesi zakeWenger amekubali mwaliko? [emoji38][emoji38][emoji38]
Wanogopa adhabu, TCRA wanaweza sema ni habari ya kichochezi.Mcheza mpira maarufu Afrika George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia....Magazeti yetu nchini kimyaa! Waandishi wetu ni vilaza wamekalia habari local za kipuuz
Haya habari zake utapata hapa katika wikipedia ya Kiswahili: George Weah - Wikipedia, kamusi elezo huruMcheza mpira maarufu Afrika George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia....Magazeti yetu nchini kimyaa! Waandishi wetu ni vilaza wamekalia habari local za kipuuz