George W Bush avunjika shingo

George W Bush avunjika shingo

Sio John Eric Bush,ni JOHN ELIS BUSH a.k.a JEB Bush.

Kweli, unajua mimi nimemsoma huyu jamaa nikiwa la pili wakat huo akigombea ugavana Florida naona sikushika jina lake la kati (Ellis) vizuri. Thanks for correction.
 
Kweli, unajua mimi nimemsoma huyu jamaa nikiwa la pili wakat huo akigombea ugavana Florida naona sikushika jina lake la kati (Ellis) vizuri. Thanks for correction.

Ok poa,wenzetu Wazungu wanaanda watoto wao kuwa viongozi angali wadogo. Katika familia hii ya George H.W Bush huyu Jeb Bush ndio alionekana na kuandaliwa kuwa kiongozi wa baadae wa Marekani tangu akiwa mdogo,kaka yake George W Bush hakuwa anahesabika kama atakuja kuwa Rais but from no where akaja kuwa Rais na hii ni kutokana na jitihada zake binafsi na baadae familia ikampa support ya kutosha.
 
ameanza mateso ya jehanum akiwa duniani

Umejuaje???,acha kutoa hukumu,kumbuka wewe ni mwanadamu na utabaki hivyo,kwa hiyo jihadhari sana na Hukumu unazompa mwenzio,Mwachie Mungu aliye Mtakatifu sana amuhukumu kwa kadiri anavyojua yeye mwenyewe.
 
Huyu ni MTU aliyezidhulumu nafsi za watu sana nae Mungu atamvunja kiungo kimojakimoja aonje jinsi maumivu ya roho inavotoka.
 
Back
Top Bottom