Upo sahihi sana na ndio ukweli huo kwamba Div 1 ni ngumu kuendelea kukaa naye ktk kada hiyo(lindo).Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ni kweli div 1 wataapply vyuo mara baada ya depo na kuja kuwa maofisa ( maofisa hawaendi lindo kwenye mabenki). Point ya waziri iko hapa.
Nadiriki kusema heading ya huu uzi IMEPOTOSHA.View attachment 1971554
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona unagaika kufanya Damage Control...
Kwahiyo mnatueleza Jeshi la Polisi linaajiri Rejected Materials, wasio na sifa ya kujiendeleza hata kwa kiwango cha certificate ili waendelee kuwa-exploit?
Yaani mnawaambia mabenki yanayotunza mamilioni ya pesa za watu kwamba tunawaletea watu wasio na future yoyote lakini tutawapa silaha ili wakae kwenye mageti yenu?
Yaani mnawaambia wateja wa mabenki kwamba hao mnaowaona kwenye mageti wakati mnaenda kuweka au kutoa mipesa yenu ni watu ambao walikuwa ndo Vilaza Max na wengine ni Vilaza Pro!!
Yaani mnatuambia hata wale waliovuka mpaka na kuingia Malawi wakiwa na silaha, jambo ambalo kisheria ni halali kabisa kutafsirika kwamba ni uvamizi, kumbe hayo nayo ni matokeo ya kuajiri Academically Futureless Citizens, ambao hawawezi kuwa na future yoyote zaidi ya kubeba silaha na kufanya doria!!
Is that what you're trying to justify?
Kwani angesema tu kwamba kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kulitumikia Jeshi la Polisiili hatimae kuweza kulinda usalama wa raia na mali zao , ina maana asingeeleweka?
Kwani angesema tu kwamba, kwa nyakati tofauti Jeshi la Polisi huajiri watu wenye sifa tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya wakati husika, ina maana asingeeleweka?!
Btw, hiyo screenshot mmemnukuu Simbachawene au mmeandika wenyewe ili kufanya damage control?!
Na kama ni Simbachawene, ina maana mnaendelea kutudhihirishia kushindwa kwake kuchagua hata maneno ya kuongea ni dalili ya kwamba kichwani ni mtupu ndo maana amefikia hata kusema DIVISION 32, aina ya ufaulu ambao sijawahi hata kuisikia maishani mwangu!!
Bila hata certificateHuyu jamaa degree ya Sheria bila kusoma Advance, Wala diploma ya Sheria? Alipataje?
Sijui huwa anapataje uwaziri huyu jamaa!Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT.
HII NI HATARI!
Majibu aliyotoa leo kipindi cha Dk 45 yanaonyesha kabisa mtu asiye na ufahamu wa basics za ajira za wasomi, hasa Polisi.
Ati msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
Hivi Simbachawene anajua anaongea nini?
Sisi tuliosoma zamani, tena tulifaulu vizuri, kulinda sehemu nyeti ilikuwa sehemu ya kazi.
Leo kuna majenerali waliofaulu vizuri tu na kulinda sehemu nyeti, ni sehemu ya majukumu ya ulinzi.
Nitashangaa kama Simbachawene ataendelea kuwepo sehemu asiyostahili.
Profile
Hon. George Boniface Simbachawene
Member Type : Constituent Member
Constituent : Kibakwe
Political Party : CCM
Phone : +255755375623
P.O Box : P. O. Box 75112, Dar es Salaam
Email Address : g.simbachawene@bunge.go.tz
Date of Birth : 1968-07-05
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Arusha Technical College Full Technician Certificate 1989 1992 FTC University of Dodoma Masters in Public Administration 2010 2013 Masters Degree Open University of Tanzania LL.B 2000 2005 Bachelor Degree Mazengo Secondary School CSEE 1985 1988 Secondary School Pwaga Primary School - 1978 1982 Primary School Mahomanyika Primary School CPEE 1983 1984 Primary School
Employment History :
Company/Institution Position From To Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 2012 2013 Muzdalifah Charitable Dispensary Managing Director 2000 2001 Urafiki Bus Service-Dodoma Transport Officer 1995 2000 Future World Vocational Training Centre Teacher/Instructor 1997 1999 Ministry of Land Deputy Minister 2013 2014 Ministry of Energy and Minerals Minister 2014 2015
Political Experience :
Political Party Position From To President's Office Regional Administration and Local Government Minister 2015 2017 Chama cha Mapinduzi Member of District Political Committee 2002 Todate Local Authorities Accounts Committee of the Parliament Member of the Committee 2005 2010 Administration and Local Governments Committee Member 2015 2018 Subsidiary Legislation Committee Chairman 2010 2012 Constituent Assembly Member 2014 2014 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2005 2010 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015 Chama cha Mapinduzi Member of the National General Meeting 2005 Todate Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020 Chama cha Mapinduzi Member of the Regional Executive Council-Dodoma 2005 Todate Chama cha Mapinduzi Member of the District Executive Council-Mpwapwa 2000 Todate Ministry of Home Affairs Minister 2020 2025 Vice President's Office responsible for Union Affairs and Environment Minister 2019 2020 Budget Committee Chairman 2017 2019 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2020 2025
Alikuwa konda stendi gani?Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Mkuu umeeleza haswa wasiwasi wangu. juu ya huyu waziri wetu.Naona unagaika kufanya Damage Control...
Kwahiyo mnatueleza Jeshi la Polisi linaajiri Rejected Materials, wasio na sifa ya kujiendeleza hata kwa kiwango cha certificate ili waendelee kuwa-exploit?
Yaani mnawaambia mabenki yanayotunza mamilioni ya pesa za watu kwamba tunawaletea watu wasio na future yoyote lakini tutawapa silaha ili wakae kwenye mageti yenu?
Yaani mnawaambia wateja wa mabenki kwamba hao mnaowaona kwenye mageti wakati mnaenda kuweka au kutoa mipesa yenu ni watu ambao walikuwa ndo Vilaza Max na wengine ni Vilaza Pro!!
Yaani mnatuambia hata wale waliovuka mpaka na kuingia Malawi wakiwa na silaha, jambo ambalo kisheria ni halali kabisa kutafsirika kwamba ni uvamizi, kumbe hayo nayo ni matokeo ya kuajiri Academically Futureless Citizens, ambao hawawezi kuwa na future yoyote zaidi ya kubeba silaha na kufanya doria!!
Is that what you're trying to justify?
Kwani angesema tu kwamba kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kulitumikia Jeshi la Polisiili hatimae kuweza kulinda usalama wa raia na mali zao , ina maana asingeeleweka?
Kwani angesema tu kwamba, kwa nyakati tofauti Jeshi la Polisi huajiri watu wenye sifa tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya wakati husika, ina maana asingeeleweka?!
Btw, hiyo screenshot mmemnukuu Simbachawene au mmeandika wenyewe ili kufanya damage control?!
Na kama ni Simbachawene, ina maana mnaendelea kutudhihirishia kushindwa kwake kuchagua hata maneno ya kuongea ni dalili ya kwamba kichwani ni mtupu ndo maana amefikia hata kusema DIVISION 32, aina ya ufaulu ambao sijawahi hata kuisikia maishani mwangu!!
wote mnaolalama ni mapolice, kama sio basi ni mama zenu au baba zenu ndo mapolice. Hii imewachoma sana, ukweli unauma eee.Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT.
HII NI HATARI!
Majibu aliyotoa leo kipindi cha Dk 45 yanaonyesha kabisa mtu asiye na ufahamu wa basics za ajira za wasomi, hasa Polisi.
Ati msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
Hivi Simbachawene anajua anaongea nini?
Sisi tuliosoma zamani, tena tulifaulu vizuri, kulinda sehemu nyeti ilikuwa sehemu ya kazi.
Leo kuna majenerali waliofaulu vizuri tu na kulinda sehemu nyeti, ni sehemu ya majukumu ya ulinzi.
Nitashangaa kama Simbachawene ataendelea kuwepo sehemu asiyostahili.
Profile
Hon. George Boniface Simbachawene
Member Type : Constituent Member
Constituent : Kibakwe
Political Party : CCM
Phone : +255755375623
P.O Box : P. O. Box 75112, Dar es Salaam
Email Address : g.simbachawene@bunge.go.tz
Date of Birth : 1968-07-05
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Arusha Technical College Full Technician Certificate 1989 1992 FTC University of Dodoma Masters in Public Administration 2010 2013 Masters Degree Open University of Tanzania LL.B 2000 2005 Bachelor Degree Mazengo Secondary School CSEE 1985 1988 Secondary School Pwaga Primary School - 1978 1982 Primary School Mahomanyika Primary School CPEE 1983 1984 Primary School
Employment History :
Company/Institution Position From To Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 2012 2013 Muzdalifah Charitable Dispensary Managing Director 2000 2001 Urafiki Bus Service-Dodoma Transport Officer 1995 2000 Future World Vocational Training Centre Teacher/Instructor 1997 1999 Ministry of Land Deputy Minister 2013 2014 Ministry of Energy and Minerals Minister 2014 2015
Political Experience :
Political Party Position From To President's Office Regional Administration and Local Government Minister 2015 2017 Chama cha Mapinduzi Member of District Political Committee 2002 Todate Local Authorities Accounts Committee of the Parliament Member of the Committee 2005 2010 Administration and Local Governments Committee Member 2015 2018 Subsidiary Legislation Committee Chairman 2010 2012 Constituent Assembly Member 2014 2014 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2005 2010 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015 Chama cha Mapinduzi Member of the National General Meeting 2005 Todate Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020 Chama cha Mapinduzi Member of the Regional Executive Council-Dodoma 2005 Todate Chama cha Mapinduzi Member of the District Executive Council-Mpwapwa 2000 Todate Ministry of Home Affairs Minister 2020 2025 Vice President's Office responsible for Union Affairs and Environment Minister 2019 2020 Budget Committee Chairman 2017 2019 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2020 2025
We popoma basi weka mgambo wakalinde na mipaka ya nchi yako, wasomi wale bata!wote mnaolalama ni mapolice, kama sio basi ni mama zenu au baba zenu ndo mapolice. Hii imewachoma sana, ukweli unauma eee.
Ila kimsingi kwasasa mambo yamebadilika, simbachawene na serikali yake iache system za kizamani. Sasahivi wasomi ni wengi tunataka nchi iende kisomi.
Waachane na mambo ya la saba na form four failure kazi wapewe wasomi, nchi iende kisomi zaidi , hayo ndo maendeleo.
Mijitu mijinga sana ninyi.wote mnaolalama ni mapolice, kama sio basi ni mama zenu au baba zenu ndo mapolice. Hii imewachoma sana, ukweli unauma eee.
Ila kimsingi kwasasa mambo yamebadilika, simbachawene na serikali yake iache system za kizamani. Sasahivi wasomi ni wengi tunataka nchi iende kisomi.
Waachane na mambo ya la saba na form four failure kazi wapewe wasomi, nchi iende kisomi zaidi , hayo ndo maendeleo.
Mkuu Jidu La Mabambasi , "ulinxi" ni nini?Statement aliyotoa si ya mtu aliyepitia mafunzo yoyote ya ulinxi na usalama.
Inashangaza anakuwaje waziri wa Mambo ya Ndani, a very sensitive position.
wale bata au wakose ajira?We popoma basi weka mgambo wakalinde na mipaka ya nchi yako, wasomi wale bata!
yote hii ni kutokana na kukosa kazi, mnaanza kutamani mpaka na kazi za form four failure.Mijitu mijinga sana ninyi.
Mnapobambikwa na mikesi isiyo na mbele wala nyuma mnalalamika.
Sasa mkipenda kuhudumiwa na watu wasio na akili si mfurahie tu kama ninyi wenyewe hamna akili nzuri!!
Mkuu alichemkaNikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT.
HII NI HATARI!
Majibu aliyotoa leo kipindi cha Dk 45 yanaonyesha kabisa mtu asiye na ufahamu wa basics za ajira za wasomi, hasa Polisi.
Ati msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
Hivi Simbachawene anajua anaongea nini?
Sisi tuliosoma zamani, tena tulifaulu vizuri, kulinda sehemu nyeti ilikuwa sehemu ya kazi.
Leo kuna majenerali waliofaulu vizuri tu na kulinda sehemu nyeti, ni sehemu ya majukumu ya ulinzi.
Nitashangaa kama Simbachawene ataendelea kuwepo sehemu asiyostahili.
Profile
Hon. George Boniface Simbachawene
Member Type : Constituent Member
Constituent : Kibakwe
Political Party : CCM
Phone : +255755375623
P.O Box : P. O. Box 75112, Dar es Salaam
Email Address : g.simbachawene@bunge.go.tz
Date of Birth : 1968-07-05
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Arusha Technical College Full Technician Certificate 1989 1992 FTC University of Dodoma Masters in Public Administration 2010 2013 Masters Degree Open University of Tanzania LL.B 2000 2005 Bachelor Degree Mazengo Secondary School CSEE 1985 1988 Secondary School Pwaga Primary School - 1978 1982 Primary School Mahomanyika Primary School CPEE 1983 1984 Primary School
Employment History :
Company/Institution Position From To Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 2012 2013 Muzdalifah Charitable Dispensary Managing Director 2000 2001 Urafiki Bus Service-Dodoma Transport Officer 1995 2000 Future World Vocational Training Centre Teacher/Instructor 1997 1999 Ministry of Land Deputy Minister 2013 2014 Ministry of Energy and Minerals Minister 2014 2015
Political Experience :
Political Party Position From To President's Office Regional Administration and Local Government Minister 2015 2017 Chama cha Mapinduzi Member of District Political Committee 2002 Todate Local Authorities Accounts Committee of the Parliament Member of the Committee 2005 2010 Administration and Local Governments Committee Member 2015 2018 Subsidiary Legislation Committee Chairman 2010 2012 Constituent Assembly Member 2014 2014 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2005 2010 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015 Chama cha Mapinduzi Member of the National General Meeting 2005 Todate Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020 Chama cha Mapinduzi Member of the Regional Executive Council-Dodoma 2005 Todate Chama cha Mapinduzi Member of the District Executive Council-Mpwapwa 2000 Todate Ministry of Home Affairs Minister 2020 2025 Vice President's Office responsible for Union Affairs and Environment Minister 2019 2020 Budget Committee Chairman 2017 2019 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2020 2025
Utajaza!Mkuu Jidu La Mabambasi , "ulinxi" ni nini?
Kwani tuanaajiri base on merit au expenses. Waswahili wanasema kizuri gharama yaani ili tupate polisi bora wenye weledi lazima tugharamie ivi kwanini tunazipuuza kazi za kitaalamu ie polisi wakati hapohapo hao wanasiasa wanajipa maslahi mazuri na makubwa tena wengine ni la saba kabisaInshu kubwa ni kwamba,ukiajili digrii utawalipa mishahara mikubwa na posho kubwa,hivyo Serikali ktk kupunguza mzigo tunaaijili f4.