George Mwangi wa Jubilee Party "amchana" Uhuru Kenyatta kwa uchonganishi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Ndani ya Jubilee mambo ni moto sana.

IMG-20200801-WA0084.jpeg
 
Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?

Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.

Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
 
Huyu kamwana utoto unamsumbua
Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania? Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff. Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
 
Fun thing is that, Magufuli has been handling his stuffs professionally without even having to spit out single word publicly. Kenyatta sasa, anaulizwa hili na raia wake, badala ya majibu anatoa visingizio, kisingizio chake jirani Tanzania.

Mti wenyewe matunda ndio upigwao mawe, Go Kabudi....Go Magufuli.
 
Tuliishasema wao league zao ni DCs na wakuu wa idara tu.

Rais, waziri, msemaji wa serikali wana kazi nyingi za kufanya, kuliko kuwajibu.
 
Kuna jopo lina mdanganya bwana Unuru, wamemfitinisha mpaka na VP Ruto. Ruto nowadays yupo tu kama picha ya umbwa ktk geti liloandikwa mbwa mkali 😆😆😆😆😆. How come ulete ndege zako kwa wenzako yaan kujifanya nyinyi ni wasafi sana.
 
Its not about kupiku watu,ila maendeleo kijana.

Hii tabia ya kupenda kuwa mbele ya watu wengine ndio inafanya hata mnafake data ili muonekane mko juu,ujinga.
SGR 700km vs SGR 100km
GDP $100b vs GDP $63b
KQ 40 planes vs ATCL 7 planes
Biggest exporter of Coffee &Tea vs Bahatisha minofu ya nyama.

Mnang'ang'ana sana kuipiku Kenya tena Kila siku...anagalia nyuzi nyingi kwa Kenyan section ni Watanzania bad mouthing Kenya. Hamtatupiku mpende msipende.
 
Dogo Uhuru amepotezwa
Kuna jopo lina mdanganya bwana Unuru, wamemfitinisha mpaka na VP Ruto.. Ruto now days yupo tu kama picha ya umbwa ktk geti liloandikwa mbwa mkali . How come ulete ndege zako kwa wenzako yaan kujifanya nyinyi ni wasafi sanaa pumbavu kbs
 
Dogo unajitekenya
SGR 700km vs SGR 100km
GDP $100b vs GDP $63b
KQ 40 planes vs ATCL 7 planes
Biggest exporter of Coffee &Tea vs Bahatisha minofu ya nyama.

Mnang'ang'ana sana kuipiku Kenya tena Kila siku...anagalia nyuzi nyingi kwa Kenyan section ni Watanzania bad mouthing Kenya. Hamtatupiku mpende msipende.
 
SGR 700km vs SGR 100km
GDP $100b vs GDP $63b
KQ 40 planes vs ATCL 7 planes
Biggest exporter of Coffee &Tea vs Bahatisha minofu ya nyama.

Mnang'ang'ana sana kuipiku Kenya tena Kila siku...anagalia nyuzi nyingi kwa Kenyan section ni Watanzania bad mouthing Kenya. Hamtatupiku mpende msipende.
Na hatuna shida kuwapiku,nyinyi endeleeni kukaa huko juu mkipanua gape,gape ni deal.

Wacha nikuongezee na nyingine.
Biggest exporter of avocados.
Biggest exporter of flowers.
Home of champions.
Biggest numbers of cars

Nikutajie na zingine au inatosha!!!!
 
Mimina sifa Mkuu 😁
 
Back
Top Bottom