George Masaju afanyiwa ibada maalum ya maombezi

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
1,716
Reaction score
1,375
Wana JF leonilibahatika kuabudu kwenye kanisa la Wasabato Ushindi Mikocheni B, na tukiolililonivutia sana ni la kumwombea na kumkabidhi kwa Mungu Mwanasheria mpya waSerikali Bwana George Masaju. Ilikuwa ni ibada nzuri sana iliyoongozwa na MchGeofrey Mbwana ambaye ni Makamu wa Askofu wa kanisa la Wasabato Ulimwenguni. Baadhi ya mafungu ya Biblia ambayo MchungajiMbwana alisoma ni pamoja na Isaya 56:1 “ Bwana asema hivi, Shikeni hukumu,mkatende haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa.”Kumbukumbu 28:7 “Bwanaatawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njiamoja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.” Kisha aliombewa maombi ya nguvu:
  • Mungu ampatie hekima
  • Mungu amuondolee hofu
  • Asiwe na maadui, yaani kazi yakeikubalike kwa kila mtu
  • Mzigo utakapokuwa mzito kwake Yesuatakuwa karibu kumsaidia
  • Awe mshauri bora kwa Rais naserikali
  • Mungu ambarikie atokapo na aingiapo
  • Mungu amuwekee utisho, pasiwe na mtuwa kumtisha kwa lolote
Kwa ibada hiyo na mashauri aliyopewa nina imanikuwa atakuwa AG wa aina yake hata UKAWA watamkubali. Watanzania tuendeleekumuombea ili asitishwe na mafisadi
 
Ivi baada ya kustaafu kuichezea simba,huyu huyu joji masatu sii alienda ktk makombe ya mafuta uarabuni? kaja kasoma sheria..

Hongera masatu
 
Huyu anaitwa George Masaju unamchanganya na mchezaji wa zamani wa Simba anaitwa George Masatu. Ni watu wawili tofauti
 
Wana JF leonilibahatika kuabudu kwenye kanisa la Wasabato Ushindi Mikocheni B, na tukiolililonivutia sana ni la kumwombea na kumkabidhi kwa Mungu Mwanasheria mpya waSerikali Bwana George Masaju. Ilikuwa ni ibada nzuri sana iliyoongozwa na MchGeofrey Mbwana ambaye ni Makamu wa Askofu wa kanisa la Wasabato Ulimwenguni. Baadhi ya mafungu ya Biblia ambayo MchungajiMbwana alisoma ni pamoja na Isaya 56:1 “ Bwana asema hivi, Shikeni hukumu,mkatende haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa.”Kumbukumbu 28:7 “Bwanaatawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njiamoja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.” Kisha aliombewa maombi ya nguvu:
  • Mungu ampatie hekima
  • Mungu amuondolee hofu
  • Asiwe na maadui, yaani kazi yakeikubalike kwa kila mtu
  • Mzigo utakapokuwa mzito kwake Yesuatakuwa karibu kumsaidia
  • Awe mshauri bora kwa Rais naserikali
  • Mungu ambarikie atokapo na aingiapo
  • Mungu amuwekee utisho, pasiwe na mtuwa kumtisha kwa lolote
Kwa ibada hiyo na mashauri aliyopewa nina imanikuwa atakuwa AG wa aina yake hata UKAWA watamkubali. Watanzania tuendeleekumuombea ili asitishwe na mafisadi

Kila la kheri safari imeanza lakini changamoto ni kubwa maana amekuwa political figure ambamo taaluma na weledi siku MOJA MOJA hulazimishwa kinyume chake kulivusha Taifa kwa wema au kinyume chake

Otherwise ameanza na Mungu hakika atakuwa upande wake kuonyesha njia yakulivusha Taifa
 
Tendo hilo hilo likifanywa na waumini wa dini nyingine linageuka kuwa UDINI hii nchi hadi sunna ya kumwagika damu ipite ndio tutaheshimiana
 
Ivi baada ya kustaafu kuichezea simba,huyu huyu joji masatu sii alienda ktk makombe ya mafuta uarabuni? kaja kasoma sheria.. Hongera masatu
Kweli kuna mbulula humu jf,hawa ndo wapotoshaji wa mambo mengi humu. Yaani inaonekana mpira hujui wala siasa huwez zaidi ya kuropoka
 
mkuu kuza maandishi kwa computer yanaumiza macho ni madogo mno
 
Upuuzi mtupu dili zote tangu enzi ya Chenge hadi Werema alishiriki kikamilifu,leo anahonga ili aombewe.Ni mwizi fisadi kama Werema/Chenge tuu,
 
Kila la kheri safari imeanza lakini changamoto ni kubwa maana amekuwa political figure ambamo taaluma na weledi siku MOJA MOJA hulazimishwa kinyume chake kulivusha Taifa kwa wema au kinyume chake

Otherwise ameanza na Mungu hakika atakuwa upande wake kuonyesha njia yakulivusha Taifa
Je tunatambua hata waliopo madarakani waliapa wakiwa na vitabu vya imani zao kuwa watatenda haki? Je tunayoyaona yaajinasibu.
Binafsi siwezi ongea chochote ngoja nione ataongozaje ndani ya magamba. Kule mzuri ni elimu, ujuzi, uzoefu = 0 halaf utii bila kujali ni kitu gani = 100%
 
George Masatu hana jipya lolote atakalo waletea WaTanzania kwani yeye mwenyewe amekuwa mminya haki na zao la ufisadi kama mabosi wake waliomtangulia.

Na hata huyo JK mwenyewe amemchagua kwa aibu safari hii baada ya kuwa akimpita mara zote na kumwacha hapo hapo kwenye U Deputy AG miaka yote. Masaju kama ni kuwa AG basi stahili yake angepewa baada ya kuondoka Chenge kwenda kuwa mbunge wa Bariadi mwaka 2005. Kilichotokea ni kuwa jina halikurudi kwenye mamlaka ya uteuzi - Ikulu.

U AG ulikuja kumwangua Mwanyika ambaye naye alikuja lazimika kuachia ngazi bila kupenda kwenye skendo ya Richmond. Baada ya hapo watu wakajua ni zamu ya Masaju kwani ameganda kwenye U Deputy AG miaka yote hiyo lakini pia jina halikurudi.
Naona mwisho sasa JK (ameona haya) ameona wacha amalizie hiyo miezi 9 iliyobaki na huyo Masaju kama AG wake. Kumbuka Rais ajaye kwa kawaida huteuwa AG wake ambaye kwa hakika hawezi kuwa Masaju. Hivyo kama Masaju umri wa ku-retire utakuwa bado itabidi ateuliwe kuwa Jaji au balozi ( Au alazimishwe ku-retire mapema) baada ya uchaguzi mkuu October,2015 ili apishe Rais ajaye achague AG wake na tayari kuunda serikali yake.
 
Upuuzi mtupu dili zote tangu enzi ya Chenge hadi Werema alishiriki kikamilifu,leo anahonga ili aombewe.Ni mwizi fisadi kama Werema/Chenge tuu,

Utahongaje kuombewa? Hii nayo ni mpya!
 
George Masatu hana jipya lolote atakalo waletea WaTanzania kwani yeye mwenyewe amekuwa mminya haki na zao la ufisadi kama mabosi wake waliomtangulia.

Na hata huyo JK mwenyewe amemchagua kwa aibu safari hii baada ya kuwa akimpita mara zote na kumwacha hapo hapo kwenye U Deputy AG miaka yote. Masaju kama ni kuwa AG basi stahili yake angepewa baada ya kuondoka Chenge kwenda kuwa mbunge wa Bariadi mwaka 2005. Kilichotokea ni kuwa jina halikurudi kwenye mamlaka ya uteuzi - Ikulu.

U AG ulikuja kumwangua Mwanyika ambaye naye alikuja lazimika kuachia ngazi bila kupenda kwenye skendo ya Richmond. Baada ya hapo watu wakajua ni zamu ya Masaju kwani ameganda kwenye U Deputy AG miaka yote hiyo lakini pia jina halikurudi.
Naona mwisho sasa JK (ameona haya) ameona wacha amalizie hiyo miezi 9 iliyobaki na huyo Masaju kama AG wake. Kumbuka Rais ajaye kwa kawaida huteuwa AG wake ambaye kwa hakika hawezi kuwa Masaju. Hivyo kama Masaju umri wa ku-retire utakuwa bado itabidi ateuliwe kuwa Jaji au balozi ( Au alazimishwe ku-retire mapema) baada ya uchaguzi mkuu October,2015 ili apishe Rais ajaye achague AG wake na tayari kuunda serikali yake.
Alichaguliwa lini kuwa Deputy AG?
 
Ivi baada ya kustaafu kuichezea simba,huyu huyu joji masatu sii alienda ktk makombe ya mafuta uarabuni? kaja kasoma sheria..

Hongera masatu

Mkuu huyu anaitwa George Wa kwako ni joji! Hivyo ni watu wawili tofauti kabisa!! Umesikia wee zombie?
 
Back
Top Bottom