George Marato wa ITV anaswa na TAKUKURU Mara

George Marato wa ITV anaswa na TAKUKURU Mara

Ukiwa na habari yako umeiandaa unataka irushwe lazima umwandalie kati ya elf 60 mpaka laki ndiyo uione ITV
 
Na yeye anaomba rushwa kama Jerry Muro enzi zake alivyokuwa anawatisha satu wampe pesa
 
Huu ni umbea na kuchafuana tu mitandaoni. Kwani hao takukuru kila mtuhumiwa wanamuandikia barua kubwa kama hii na kumtolea taarifa kwa umma???.
 
Takukuru wafuatilie 1.5 trilioni sasa
 
Back
Top Bottom