George Marato wa ITV anaswa na TAKUKURU Mara

George Marato wa ITV anaswa na TAKUKURU Mara

hayo mambo ya jerry muro. Walimuendesha kweli. Ila Leo yupo upande wao anakula maisha
 
Anahusika na nini kwa wafanyabiashara kutaka pesa yote hiyo!!? Si presentor huyu!!? Ama muajiriwa wa mapato!!?[emoji848][emoji848] ITV mna kitengo cha mapato kwa wafanyabiashara[emoji848][emoji848][emoji848]
Ungekuwa unasoma habari yote.
 
Mimi ni jooooooojiiiiiiiiiiiiiii maratuuuu aaaitiiivi MARAAAA!!!
 
Ameshirikiana na ri afwande kupiga mishe ili wasimvumbue mshikaji naona taarifa ikapelekwa kwa hawa pccb Ni tabu Sana ukikutana nao anga maana utanyooshwa
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari mwandamizi wa ITV, George Marato kwa tuhuma za kuomba rushwa TZS 3 milioni kutoka kwa mfanyabiashara.View attachment 1141799View attachment 1141801
Huyu RCO Abubacar Kunga kama ndie yule naemjua aliekuaga Mkuu wa Kituo pale Osterbay Police basi niishie hapa tu, nisiendelee ku comment.
 
🤣🤣🤣🤣miimi ni joooooooooji maratuuuuuuu,wa AIITIIIVIIIII,mmaraaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂dis reporter is so funny🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaripoti kutoka Tarime kwenye mapanga nje nje nini?
 
Anahusika na nini kwa wafanyabiashara kutaka pesa yote hiyo!!? Si presentor huyu!!? Ama muajiriwa wa mapato!!?[emoji848][emoji848] ITV mna kitengo cha mapato kwa wafanyabiashara[emoji848][emoji848][emoji848]
Hicho ni kitengo private kwa ma_ reporter kutoka media zote Tanzania, kwani mmesahau kule arusha kuna jamaa nadhani anaitwa ngilishow alitiwa nguvuni na takukuru kwa issue kama hiyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]miimi ni joooooooooji maratuuuuuuu,wa AIITIIIVIIIII,mmaraaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dis reporter is so funny[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nae kajifunza wizi!
 
Tatizo amejifunza wizi.
 
Umri wangu unahusiana na nini na swala nililo hitaji kulifahamu!!? Nyie msio julikana mna matatizo sana
Una umri gani?
Mkuu hawa Waandishi ukitaka jambo lako liende hewani bila kuwapoza wanakukaushia,japo mara nyingi ni kwa wanasiasa, hili la mfanyabiashara ngoja tusubilie nn kilitokea
Ungekuwa unasoma habari yote.
Hicho ni kitengo private kwa ma_ reporter kutoka media zote Tanzania, kwani mmesahau kule arusha kuna jamaa nadhani anaitwa ngilishow alitiwa nguvuni na takukuru kwa issue kama hiyo.
Ahsanteni kwa kunielewesha wakuu
 
Aliwahi pia kutumikishwa na ccm ili aandike uongo kuhusiana na Mbowe wakati wa kifo cha Wangwe kule Tarime , wananchi walikuja juu ndipo Marehemu Mengi alipojitokeza kuomba radhi hadharani .

Tulimuonya Marato kwamba Shetani hana rafiki , waliomtumia ndio wanamsulubu .
 
Back
Top Bottom