Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,903
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari mwandamizi wa ITV, George Marato kwa tuhuma za kuomba rushwa TZS 3 milioni kutoka kwa mfanyabiashara.