Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,357
- 3,863
Mohamed alikua na maneno machafu na mdomo mchafu sana, alimdhalilisha sana Joe Frazier kwa kumuita nyani, yeye akawa anajifananisha na wazungu kisa kua light skin ama kua na light complexion na kusema Joe Frazier ni Nyani kisa yeye ana weusi zaidi kuliko yeye.
Mohamed Ali kwa ujumla alikua mtu wa hovyo. Mohamed Ali na Michael Jackson ni watu ambao jamii ya weusi tunapaswa kuwalaani na kuwakana kwenye jamii yetu. Ni watu wa hovyo kabisa.
Yupo mmoja nimemsahau jina Mmarekani aligeuzwa taahira kabisa,ilipandishwa link yake hapa na mdau imhotepHuo mchezo wa kupigana ngumi za Kichwani sio mzuri kabisa, Kuna mtu niliwahi kumpiga ya kwenye sikio bahati mbaya
Hadi sasa anapata shida kusikia
Huo mchezo sio mzuri kabisa
😂😂😂Hatari sana huyu jamaa. Enzi zake bora ukutwe unaokota nazi za Mwakinyo ila sio huyu mwamba.
Mayweather huyo mtoto hajawahi kuguswa huwa anakumbatia kumbatia tu.Aisee, ndiyo maana Mayweather aliamua kutangaza kustaafu mapema huo mchezo
Kuomba radhi hakumfanyi mtu kuacha kulaumiwa,kingine kulaumiwa siyo kwamba mtu ana chuki na wewe ni kuambiwa ukweli ili wewe mtendaji uelewe usije ukarudia tena uliyotenda.Mbona husemi kuwa Muhammad Ali alimuomba radhi Joe Frazier kwa zile "trash talks"? Au hujui kwamba aliwahi ku regret na kuomba radhi?
Halafu eti jamii ya watu weusi wamlaani Ali!!? Wewe unaweza kufanya harakati za kutetea weusi hata kidogo kama za Ali? Wewe una mchango gani kwa watu weusi kumfikia Ali?
Mtu aliyepata misukosuko na hata ku risk career yake kwa sababu ya kukataa kujiunga na Jeshi kwenda kupigana Vietnam.
Siupendi mchezo wa masumbwi wala siuungi mkono ila acha chuki binafsi dhidi ya Muhammad Ali.
Allah Amsamehe madhambi yake na Amrehemu.
Shukrani.Anaitwa Gerald McCLelan mgoogle.
Kwako is the greatest,,kwangu alikua mtu wa hovyo. Simple like that.Usimfananishe Ali na wengine
Ali is the greatest
Nilitegemea ungejibu hoja, unaleta mipasho. Chuki za nini sasa?Wewe una chuki binafsi tu na Muhammad Ali
Vitu vingine kabla hujaandika uwe unatumia akili kufikiria kwanza. Sasa unateteaje watu weusi halafu upande mwingine unawaita watu weusi nyani huku wewe ukijilinganisha na kujifananisha na wazungu ambao ndio wanaowadhalilisha watu weusi kwa kuwaita nyani? Huo ni utetezi wa namna gani?Mbona husemi kuwa Muhammad Ali alimuomba radhi Joe Frazier kwa zile "trash talks"? Au hujui kwamba aliwahi ku regret na kuomba radhi?
Halafu eti jamii ya watu weusi wamlaani Ali!!? Wewe unaweza kufanya harakati za kutetea weusi hata kidogo kama za Ali? Wewe una mchango gani kwa watu weusi kumfikia Ali?
Mtu aliyepata misukosuko na hata ku risk career yake kwa sababu ya kukataa kujiunga na Jeshi kwenda kupigana Vietnam.
Siupendi mchezo wa masumbwi wala siuungi mkono ila acha chuki binafsi dhidi ya Muhammad Ali.
Allah Amsamehe madhambi yake na Amrehemu.
Hio ni choyo yko tu ulonayo kwake lkn haiondoi ukweliKwako is the greatest,,kwangu alikua mtu wa hovyo. Simple like that.
Ali ningesema ni Goat kama angekubali re match na George akamkimbia waziwaziMwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule Kinshasa Zaire (wakati huo) naye ametangulia mbele ya haki leo muda mfupi uliopita kabla sijaweka post hii.
Sasa George, Joe na Muhammad wataendeleza mjadala huu wtakapokutana tena huko walikofikia
View: https://www.youtube.com/watch?v=IlB-NRQv3OY&t=197s
===
George Foreman, a heavyweight boxing champion who returned to the sport to regain his title at the improbable age of 45, and parlayed his fame and amiable personality into a multimillion-dollar grill business, died on Friday night at a hospital in Houston. He was 76.
His family announced his death on his Instagram account. Roy Foreman, George’s brother, said the cause of death was not known.
When Foreman returned to the ring after 10 years away, there was skepticism that a fighter of his years could beat any younger fighter, much less come back to the top of the game. But in 1994, he beat the undefeated Michael Moorer to reclaim the world title, shocking the boxing world.
Foreman’s career spanned generations: He fought Chuck Wepner in the 1960s, Dwight Muhammad Qawi in the ’80s and Evander Holyfield in the ’90s.
With Joe Frazier and Muhammad Ali, Foreman embodied a golden era in the 1970s, when boxing was still a cultural force in America. The three great champions thrilled fans with one classic bout after another. Foreman was the last living member of the trio.
Source: NewYork Times
Ni kama jamaa amekuzwa sana, Kwa mujibu wa ripoti zinaonesha ameshinda mapambano mengi kuliko mabondia wengi wanyumaMayweather huyo mtoto hajawahi kuguswa huwa anakumbatia kumbatia tu.
Kizazi bora cha ngumi kiliishia kwa Tyson kikaja kufa kabisa kwa wale jamaa ndugu Klitschko's Brothers.
Ila alimdhalilisha sana Frazer mtu anaonesha kashachoka bado wanamuacha aendelee kutandikwa tuangalau ume muenzi mkuu Kichuguu, maana nili taka nimposti fundi huyu wa MASUMBWI.
hapa aki mchapa konde zito Frazier
View attachment 3279467
ila nyingi zilikua ni zile tambo za mabondiaMohamed alikua na maneno machafu na mdomo mchafu sana, alimdhalilisha sana Joe Frazier kwa kumuita nyani, yeye akawa anajifananisha na wazungu kisa kua light skin ama kua na light complexion na kusema Joe Frazier ni Nyani kisa yeye ana weusi zaidi kuliko yeye.
Mohamed Ali kwa ujumla alikua mtu wa hovyo. Mohamed Ali na Michael Jackson ni watu ambao jamii ya weusi tunapaswa kuwalaani na kuwakana kwenye jamii yetu. Ni watu wa hovyo kabisa.
Mzee tambo gani ambazo unadhalilisha race yako na kuwaona weusi wenzako ni nyani? Yaani wewe unaungana na watesi wako kudhalilisha rangi yako nakuiona haina thamani?ila nyingi zilikua ni zile tambo za mabondia
nje ya hapo jamaa alikua mtu wa maana tu, wala sio wa kumkana au kumlaani
mkuu, wewe ni kama una personal hate na Ali , no offenseMzee tambo gani ambazo unadhalilisha race yako na kuwaona weusi wenzako ni nyani? Yaani wewe unaungana na watesi wako kudhalilisha rangi yako nakuiona haina thamani?
Mimi mtu hawa awe ama afanye nini, lakini kama anadhihaki rangi yake ana ya watu wengine huyo ni mavi tu.
No personal issue hapa mkuu. Imagine a black man giving a hate speach against another black man. Hii maana yake amedharau kabisa black race akiwemo na yeye mwenyewe, sasa mtu ambae hata mwenyewe anajidharau anaweza kua mtu wa maana tena kwenye jamii?mkuu, wewe ni kama una personal hate na Ali , no offense
labda nikuulize, ukiacha hiyo incident yake na Smokin Joe, unaweza kuweka hate speech against black people hapa tuone
George alikuwa mpiganaji mwenye nguvu sana wakati wake lakini hakuwa na strategies za ushindi kuliko Ali. George alikuwa ni type ya Tyson. Kuna hili pambano ambalo halikupewa publicity ya kutosha lakini Foreman alitolewa kamasi na kinda.Ali ningesema ni Goat kama angekubali re match na George akamkimbia waziwazi