George Clooney na Elton John wameanzisha petition ya ku boycott hotel za Sultan wa Brunei

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1064964


Kufuatia kuanzisha sharia ya kupiga mawe wazinzi na mashoga na wezi kukatwa mikono na miguu katika nchi ya Brunei wiki iliyopita. Celebrities George Clooney na Elton John wameanza kuwashawishi wapenda amani na haki za binadamu duniani kuacha kutumia hoteli za Sultan Hassali.

Sultan Hassanali anamiliki chain ya hotel za hadhi ya 5*. Baadhi ya hoteli hizo ni The Dorchester ya London, Beverly Hills na Bel-Air Hotels za USA.

Baada ya kusambaa ujumbe huu wa George Clooney na Elton John, The Dochester ilipokea simu nyingi za booking cancellations.

1064978



Waandamanaji wakiwa nje ya The Dochester London kwa mamia kupinga Sharia Law ya Sultan Hassanal


1067005


Collection ya magari ya Hassanal Bolkiah Sultan wa Bruei.
Inasadikia royal family iliwahi kuwa na magari 2,500.

Ana miliki Ferrari 500

1067006
 
Sihukumu mashoga, ila ni tendo la kupingwa kuanzia ngazi za chini hadi juu kwa gharama yoyote ile... Hukumu tumuachie Mungu, ila sie wadamu tuhakikishe hawapati nafasi ya kufanya mambo yao wazi wazi... as if ni kitu legal... Tokomeza ushoga na shoga nwenyewe
Hata kanisani leo mahubiri yalisema kama Yesu aliweza kuwaambia wale waliomkamata mwanamke ugoni, asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe. Na wote waliondoka, sisi ni nani kuhukumu?

Hii ilikuwa amri ya Moses.
 
Back
Top Bottom