Makulu
Member
- Mar 18, 2017
- 11
- 0
Pamoja na huduma zote tunazotoa, napenda kuwakaribisha watu binafsi wote wanaotaka kucholewa ramani halisi kwa kutumia GPS ( Cadastral Map) ambazo zinahusu viwanja, mashamba, biashara zao mahali zilipo au barabara zinazoelekeza sehemu husika ilipo (kwa kuonyesha umbali halisi na ukubwa halisi wa eneo husika). Pia wanafunzi wote wa Masters na Phd wanaohitaji kucholewa ramani za proposal na dissertation nao wanakaribishwa.
Huduma inapatikana kwa bei nafuu, karibuni sana. Kwa mawasiliano ya moja kwa moja, piga simu namba;- +255 767 279024 / +255 655 279024.
Huduma inapatikana kwa bei nafuu, karibuni sana. Kwa mawasiliano ya moja kwa moja, piga simu namba;- +255 767 279024 / +255 655 279024.