..@Red, Dah tangu nimejiunga JF sijawahi kuona Mwanadada anafunguka kiasi hiki, haya ni Mapenzi halisi kwa huyo XXXX JF Gentleman.
Hey,Gentleman, who ever y're. Y're very lucky.
Na wewe nawe.... hapo tunazungumzia "kujitutumua" kwanza...
Yah njoo, natafuta watu wa back vocal kwa track flan ya soul....
Itakuwa poa sana kupata bass yako
Na wewe nawe.... hapo tunazungumzia "kujitutumua" kwanza...
Yah njoo, natafuta watu wa back vocal kwa track flan ya soul....
Itakuwa poa sana kupata bass yako