SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?
Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.
@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.
@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.
@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.
@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.
@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.
@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.
@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.
@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.
So long. . . . .
You are being too hard on him.
Mie nshasaliti, sasa sijui ntaenda wapi.
Ntalala hata jikoni kwako sitaiba mboga kwenye kabati la mbeho
Hakyanani siko upande wao!...wasukuma na wachaga wapi na wapi?...tuwaseme tu aisee!
Usanii tena wa hali ya juu Lizzy. Ameshindwa nini kusema kwa kiswahili? Kongosho leo utatukoma na huyo kakako wa leo leo!Hahahahaha. . . eti damu ya wifi nzito zaidi.
Nwy bado naona dalili za usanii.
Orait. . .
Ila nasikia huwa wanapenda wakwetu. . .ni kweli?
Usanii tena wa hali ya juu Lizzy. Ameshindwa nini kusema kwa kiswahili? Kongosho leo utatukoma na huyo kakako wa leo leo!
hahahah aaaaaaa..wanawake tukiwezeshwa tunaweza.......kongosho na sweetlady mmepamba wee mpaka mwenzenu kamtaja,kweli mnahitaji tuzo kwa kazi yenu.....
lizzy,do you feel embarassed now umemtaja??i have feelings you do.....hauko kny buble yako anymore....na you are not sure na NN kama kakureject au kakukubali lol,pole.......
thread ya kuanzia mwaka hii lol
na mie namzimia fidodingo...(kongosho na sweetlady tulieni msije mkafanya nikafa kwa presha lol
Zunguka, tuko huku nyuma ya nyumba, namfuta Lizzy machozi, njoo unisaidie.dah........
Alafu pa kulala ntakuombea kwa Boss. . . .
See. . . . eti unamtetea.
How can I be too hard on him wakati mie ndo nimeshusha mistari mpaka watu wakashangaa alafu mwenyewe akashindwa kutoa hata kaasante ka uongo na kweli.
Alafu pa kulala ntakuombea kwa Boss. . . .
hahahah aaaaaaa..wanawake tukiwezeshwa tunaweza.......kongosho na sweetlady mmepamba wee mpaka mwenzenu kamtaja,kweli mnahitaji tuzo kwa kazi yenu.....
lizzy,do you feel embarassed now umemtaja??i have feelings you do.....hauko kny buble yako anymore....na you are not sure na NN kama kakureject au kakukubali lol,pole.......
thread ya kuanzia mwaka hii lol
na mie namzimia fidodingo...(kongosho na sweetlady tulieni msije mkafanya nikafa kwa presha lol
Most people are only alive because it is illegal to shoot them...
lakini Lizzy si kakupa dedikesheni ya wimbo najiamini,umeusikiliza????mzuri kwa wapendanao....kupendwa ndio huku lol,sijakuona na wewe ukirudisha 'affection' hii aliyoionyesha...lol
Zunguka, tuko huku nyuma ya nyumba, namfuta Lizzy machozi, njoo unisaidie.
Thank God you know this.
Hii sredi inayeya kama airforce one