britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Sijawahi Kupenda Mtu au Kitu Kikaniangusha. Nilianza Nae Na Nitamaliza Nae Nilisema Tokea Mwanzo Kuwa Mgombea Atakuwa Kati Ya Yeye Magufuli au Mwandosya au Muhongo Na Ndoto Zangu Sasa Zinaelekea Kutimia. Najiandaa Kulia Machozi Ya Furaha Dr. John Pombe Magufuli Akipitishwa Rasmi. Ana Sifa Zote Za Kuwa Rais Wa Tanzania.
We jamaa nimependa misimamo yako ya kutofungamana na upande wowote...
Ila siasa ni kama mpira wa miguu.
Mfungaji bora wa timu moja ni adui wa kukaba muda wote, akihamia kwenu anakuwa mtu wa kulindwa muda wote
Ila inabidi kusimamia unachoaamini kama mwanasiasa mwenye uzalendo kwa nchi yakeWe jamaa nimependa misimamo yako ya kutofungamana na upande wowote...
Ila siasa ni kama mpira wa miguu.
Mfungaji bora wa timu moja ni adui wa kukaba muda wote, akihamia kwenu anakuwa mtu wa kulindwa muda wote
Siyo ccm na sijawahi kuwa ccm kakaUyu ni Ccm wa kindakindaki.
Siyo ccm na sijawahi kuwa ccm kaka
Ni kweli. Ila kumsema mtu ni ccm wakati siyo ndo kosaKuwa Ccm sio kosa.
Ila inabidi kusimamia unachoaamini kama mwanasiasa mwenye uzalendo kwa nchi yake
Kuhama kwa hoja yako kuwe na.maslahi kwa Taifa lakin si maslahi ya chama,
Chadema kumpokea.Lowassa ilikuwa maslahi ya chama zaid kuliko taifa, au kama walitudanganya mwanzoni waombe radhi
Mwigulu yuko sawa somehowMkuu hao uliowataja hapo juu ni wachumia tumbo wakubwa sana
Kuanzia mbowe ni mchumia tumbo
Lema ndo mchumia tumbo hataree
Msigwa pia hivyo hivyo
Pole pole ndo hana haya wala son
Bak njaa inamusumbua sana
Gentamycine ni mchumia tumbo kufulu
Mange ana hasira baada ya kukosa ubunge wa vitimaulum
Wanasiasa wa tz ni wachumia tumbo tu wote na hawana msimamo ndugu yangu wao wanaangalia sehemu gan kuna makuli mfano mzuri YERICKO NYERERE NA MWIGURU NCHEMBA
JURIUS MTATIRO ndo bado naona anajitambua na hachumii tumbo lake japo huko inster huwa namsumbua sana
Hahahahaha huyu jamaaUyu ni Ccm wa kindakindaki.
Haha wa bukoba huyoSisi tunamjua Julius Mtatiro Mkuu huyu Jurius Mtatiro wako ni wa wapi? Tuanzie hapa Kwanza.
Tuhuma za ufisadi wa lowasa bado zina simamaHivi mkuu bado msimamo wako uko vile vile? Au umeshabadili kama mbowe wa gia ya angani? Katika siasa hakuitaji mhemko kabisa maana ukweli uko wazi kwamba kuweka akiba ya maneno ni vema,
Vipi kwa kijana wetu BAK bado unaamini Lowassa ni fisadi?
Vipi Nape Nnauye unaamini kuwa Magufuli ni bulldozer?
Kuhusu mange kimambi unaamini bado Magufuli ni jembe lisiloyumbishwa na lenye akili iliyopitiliza kama ulivosema kwenye kampeni?
Bado unaamini mgombea wa upande mwingine alifanya mambo uloyatangaza jukwaani?
Vipi mbowe ,magufuli bado anatekeleza ilani yenu kama ulivosema mwanzoni?
Msigwa na lema vipi bado mnasimamia kaulo ya wafuasi wa Lowassa wapinwe akili?
Namuuliza Humphrey Pole pole hivi kweli ukuu wa wilaya ni kupoteza rasli Mali za nchi bila sababu?
Namalizia na quotation ya GENTAMYCINE