No4,shati kakunja alikua na kazi nzito iliyomlazimu kunawa mikono pia kisu chake kiko wapi? Kishatumika hicho na alimtight marehemu hukohuko choose cha kike
Meza no 4 kuna kiti kimoja tu kwa hiyo jamaa alikuja mwenyewe.
No3 kaua.katoa kisu kwenye pochi.
tena anaweza akawa mwanaume kajivalisha hijabu ili akamuue mke wake.