Umepiga chaboMkuu nimebadirisha reasoning
Muuaji ni namba 3 kwa kuwa mauaji yamefanyika choo cha kike
mtu pekee ambaye anaweza ingia choo hicho ni huyo tatu mwenye
kilemba
Simply, this is murder! Angalia bastora kashika mkono gani, Angalia damu ipo upande gani then imagine umemuinua na kurudi kukaa katika kiti ndipo utaona kuwa bastora yake na position ya damu tofauti!
Angeshtukiwa mapema anakwenda kufanya nini choo cha kikekwani mwanaume akidhamilia kuua hawezi kuingia choo cha kike?
mkuu hapo kwenye mchubuko basi hata namba3 naye anamchubukoNo 4. Ndo muuaji,
1. Kwanza kisu kilichotumika kwa mauaji inaonekana ni vya hapo hapo hotelini na No 4 peke yake meza yake haina kisu.
Ukimuangalia kwa makini utaona ana mchubuko kwenye shingo yake chini ya sikio, atakua amelipata kutokana na purukushani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi kuhusu point no. 2? wewe mawazo yako ni yapi kuhusu muuaji kwenye picha hiyo?kwa hiyo point yako ya kwanza nakupinga tena vikali. Kwani muuaji akidhamilia kukuua hawezi kuingia maliwato ya kike?
mfano mzuri ni kwa wale wauwaji wa Kibiti wakidhamilia kukuua wakaja kwako/hotelini/guest afu wewe ukakimbilia kwenye choo cha wanawake watakuacha kweli? eti kisa wao ni wanaume hawaruhusiwi kuingia choo/waliwato ya kike?
Mkuu nimebadirisha reasoning
Muuaji ni namba 3 kwa kuwa mauaji yamefanyika choo cha kike
mtu pekee ambaye anaweza ingia choo hicho ni huyo tatu mwenye
kilemba