Genius bibi kizee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Genius bibi kizee

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Aug 31, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bibi kizee mmoja alidondosha shilingi 1,000, akawa anahuzunika na kulaani sana, basi mjukuu wake akamwambia, bibi usijali kwani hiyo ni sawa na kutoa sadaka na Mungu atakulipa mara kumi zaidi.

  Basi baada ya siku kama mbili yule bibi kizee akaokota noti ya shilingi 10,000,kuona vile akaamua kuliuza shamba lake shilingi milioni 1 kisha akaenda kuzidondosha maeneo yale yale aliyoangushia shilingi 1,000 (ili baadae apate milioni 10 kama alivyodondosha shiling 1,000 akapata shilingi10,000)
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...hahahaaaaaaaahaaaaaaaaaa!! Bibi ana mawazo ya kifisadi!!
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hana tofauti na wanaozipeleka kwa matapeli zizaane!
   
 4. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Kwenye mipango yako ukiweka na bahati kamwe usitegemee kufanikiwa!
   
Loading...