Mkuu Njowepo naungana na na wewe sisi wananchi ndiyo wenye uwezo wa kumlinda Rais. Kikundi hicho kidogo hakina uwezo wa kutanua kiasi hicho. Nami nasema WASHINDWE, WALEGEE NA WAPARARAIZI.Washindwe na walegee,JK kaza buti raia maskini wa Taifa hili tuko nyuma yako
Washindwe na walegee,JK kaza buti raia maskini wa Taifa hili tuko nyuma yako
Totally nosense, mshindwe na mlegee wenyewe maskini gani walio nyuma ya jk, labda wa akili.__________________Mkuu Njowepo naungana na na wewe sisi wananchi ndiyo wenye uwezo wa kumlinda Rais. Kikundi hicho kidogo hakina uwezo wa kutanua kiasi hicho. Nami nasema WASHINDWE, WALEGEE NA WAPARARAIZI.
Je Kuna Mtu anamuweza Jk.kuna mambo ambayo watu hawajafahamu kuhusu Muungwana.He knows what he is doing,na ndiyo sababu ya kuweka ndugu zake na rafiki zake katika nafasi za juu za usalama ili waweze kumsaidia pindi wakitokea watu wa kumgeuka..hauhitaji macho kutambua hili..
Ndio maana nasema hii habari inahitaji ukweli zaidi na hasa ushahidi maanake inawezekana hizi habari zinatungwa na waandishi wa habari ama jamaa kutuonyesha kwamba JK amejenga maadui...hali hakuna hata kiongozi mmoja aliyefikishwa mahakamani, kupoteza mali zake na bado wanabeba Ubunge dhamana kubwa ya wananchi...
Hatuwezi kuendelea kuwa wajinga wa habari hiyo ya Agenda 21 ni mtungo wa tenzi...
Wafanyaji mambo hawasemi, hufanyiza kama mbwa...
Hii aliyoitupa sasa ndio karata yake ya MWISHO...so pia hapa ni wazi kuwa mr lowasa ndiye kwa miaka yote hii amekua kinguge wa mafisadi waliokua wakiichokonoa kila mara serikali ya jk...
ha ha ha,mi nilikuaga nashangaa,mbona huyu lowasa anakaa bungeni kimya kama bubu,,,,,,kumbe,,,,,,,,,,,