Genge la Wanafiki wa CHADEMA

katika orodha ya wanasiasa wanafiki duniani,zito kabwe anaweza kushika no moja,zito huyu,huyu ndio aliyemwaga sifa lukuki kikwete,ambye leo kwa watu wenye nia njema na nchi hii,wanashauri ashitakiwe kwa kufilisi nchi,lkn zito huyu huyu anamsifu tena magufuli,kweli zito ni kemeo
 
Duuh pure fact
 
Chadema kwa sasa ndio kwaheri,maana baada ya msiba wa mawazo hawana hoja ya kufanyia siasa,serikali ya Magufuli hawapati gepu la kukosoa,
wanakurupuka kutaka waendelee kumshikia akili zitto kama wakati ule walipokuwa wanahangaika kumfukuza.

wamepanic baada ya Mafisadi kuukosaa Urais.

Zitto wala asiwajibu hawa mataahira wa chagadema,Mchange anawatosha.

watuambie kwanza ilikuwaje fisadi akawa mkombozi wa taifa.
 
Wafasi wa chadema sawa na mzoga,wanaangaika kuupaka panyumu ili unukie vizuri,lkn haiwezekani
Walipiga kelele juu ya ufisadi sasa hivi ukitaka ufisadi wananuna kwa nini?

....wakati Act wanamtaka Lowassa hawakujua kama ni fisadi??
 
Sioni mtu mshenzi na mnafiki zaid ya mbowe ulimwengu huu
Angekuwa mnafiki wala usingehangaika naye! Amewashika pabaya magamba na washirika wake ndio maana huishi kubinua makalio hapa jamvini kila saa! Mbona wanafiki akina Zitto kila mtu kawapotezea?
 
Angekuwa mnafiki wala usingehangaika naye! Amewashika pabaya magamba na washirika wake ndio maana huishi kubinua makalio hapa jamvini kila saa! Mbona wanafiki akina Zitto kila mtu kawapotezea?
Huna lakunieleza wewe nenda kamfulie kaptula lowassa ndio kazi yako, kasha kutumia kipindi cha uchaguzi huna lolote mmeambulia kuuza sura
 
Huna lakunieleza wewe nenda kamfulie kaptula lowassa ndio kazi yako, kasha kutumia kipindi cha uchaguzi huna lolote mmeambulia kuuza sura

MOTOCHINI vumilieni upinzani iko hivyo popote duniani ukizingatia wa kwetu huu hauko fair.
 
tuonyeshe risiti ya aliyopewa lowassa kwa kunnua chadema,wote tumeona sifa alizomwagiwa fisadi ktilya na mpiga dili zitto!huyu zitto ana tuhuma nyingi sana kiasi kwamba kumtetea inabidi uwe na akili mbovu kama za akina mchange na unknown you!
 
Ulitegemea Mchange aseme nini? Kama hivyo ndiyo vidonge, basi havina maana. Kila mwanasiasa ni mnafiki kwa wakati wake
 
Mkuu bora ungeandika kiswahili tu. Achana na lugha za watu.
 
tuonyeshe risiti ya aliyopewa lowassa kwa kunnua chadema,wote tumeona sifa alizomwagiwa fisadi ktilya na mpiga dili zitto!huyu zitto ana tuhuma nyingi sana kiasi kwamba kumtetea inabidi uwe na akili mbovu kama za akina mchange na unknown you!

Weka ushahidi kuthibitisha tuhuma hizo unazoziita nyingi kwa zitto....hii ishu ya stanbic Bashir Awale ambaye ndiye alikua mwanamkakati mkuu wa Lowasa katika kampeni mwaka huu ndie aliyefanikisha dili....baadae akafukuzwa kazi. Huyu awale baadae akafukuzwa kwenda Kenya.

Sinare naye amehusika, ambaye ni mshirika wa moja kwa moja kwenye kampeni za lowasa....na hizo hela zilizopigwa zimetumika kwenye kampeni za cdm.....hii ishu ikija kumalizika cdm wataumbuka zaidi....

Kumsifia mtu kwa utendaji hakumaanishi utasifia ubovu wake.....zitto bado yupo sahihi.

Nyie nyumbu msiotaka kushirikisha bongo zenu mtamsema zitto ilhal dili ya stanbic imefanikishwa na washirika wa lowasa..........
 
kwa hiyo zitto kumsifia kitilya katika kipindi ambacho ndio pesa imepigwa na akina kitilya unaona sawa tu!!!!hayo mambo ya pesa za stanbic kufadhili cdm ni assumptions tu but we know with facts zitto alisifia ufisadi wa kitilya.
 
Hiyo number sasa ya nn watu kwa siasa bana tushachoka na huo usenge...rema wenu kula wanakula wengine sisi tunaungua jua pumbavuu

Kama Topic imekuburudisha, unaweza mtunza mwandishi kupitia hiyo namba.
 
MOTOCHINI vumilieni upinzani iko hivyo popote duniani ukizingatia wa kwetu huu hauko fair.
Uwe fair wakati wapinzani hampo fair! mnanunuliwa kirahisi na kumtumikia shetani mtegemee ushindi wacheni uzezeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…