Genge la Wanafiki wa CHADEMA


Unaosha mbwa makalio mabwana zako wameshasema mtaisoma namba.
 
ni upumbavu mtupu chadema kumsema zitto muwe na aibu basi wachen akili za KUKU nyie mlimsema lowassa mwiz badae mkasema sio mwiz tena mkamtetea uku mkitoka povu leo mnashangaa nn kwa zitto pumbafuu sana chadema
 
hiv awa chadema ni timamu kweli? awa siwalimsema lowassa mwiz badae wakamsafisha kwao sawa kwa wenzao sio sawa chadema ni wanafiki na wambeya
 
Hivi Machange unamjua Zitto unayemtetea au unataka tu kula hela zake? Unajua kwamba Zitto alikuwa akimshawishi Lowassa ahamie ACT wazalendo kabla kwenda Chadema? Zitto kwa unafiki alishaanza kujitapa kuwa atakuwa Waziri mkuu Lowassa akiwa rais. Hujui kuwa ACT iliomba kuingizwa kwenye Ukawa ikakataliwa, walitaka nini huko kama wanamtambua Lowassa ni fisadi?
Kwa taarifa yako hayo ni maneno ya mkosaji tu.
 
Tukutane bungeni kama hamjaomba poo
Mbunge mmoja wa ukawa ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Endeleeni kujifariji tu,zama hizo zimeshapita.
Hao wabunge wa kukaa wanazomea zomea tu kila jambo wamepitwa na wakati.
 
Endeleeni kujifariji tu,zama hizo zimeshapita.
Hao wabunge wa kukaa wanazomea zomea tu kila jambo wamepitwa na wakati.

Kua CCM LAZIMA UJITOE AKILI
BILA WAPINZANI UFISADI WA SERIKALI ANGEUIBUA NAPE??
 

....naona like zote umepewa na
"wandani"wenu ccm, hivi nje ya haya makelele unayopiga kuhusu Chadema una kazi yoyote ya kukuingizia kipato? au mpk ujikombe kwa msaliti akugawie chochote? unaonaje basi hata ukaenda kujiimarisha zaidi kule kibaha angalau uongeze zile kura 3000 ulizopata?
Mtt wa kiume usipende kutumika hovyo, madhara yake ni mabaya sn!
 
unazungumzia mchange kutumika ww kweli chiz wakina mbowe na msigwa wale ni wanawake? mbona walitumika na lowassa unaugonjwa wa kusahau kama kuku ww jd41
 
act ni tawi la ccm kwahyo walimnyima hata kura elfu 5 hakupata huyu mpuuzi
mchange asahau kuja kuwa mbunge labda mwenyekiti wa act maana ni rahisi sana

Hivi unajua Chadema kuwa ni saccos iliyonunuliwa na Mzee lower sir......??
 
Wape wamezoea vya kunyonga hao vya kuchinja hawawezi,manyumbu ndo kazi yao ilibaki kushambulia watu ,Sera wameishiwa,biashara imedoda

Hawa nyumbu wa chadema hawana wimbo wa kuimba wanasubiri akina M.b.o.w.e watunge wimbo mpya waanze kuuimba maana ule wa ufisadi walipigwa stoo kuuimba..... !!!!
 
hiv awa chadema ni timamu kweli? awa siwalimsema lowassa mwiz badae wakamsafisha kwao sawa kwa wenzao sio sawa chadema ni wanafiki na wambeya

...imamu; umesahau mlishaanza kumkaribisha lowassa kwenye chama chenu cha kichawi?! bahati mbaya hakuja huko, ndio mkaanza kubinua midomo juu na vidole juu fisadi fisadi, wakati mnamkaribisha hamkujua kama ni fisadi?!
#salamaleko!
 
Jadilini hoja za unafiki wa mbowe, lema, mnyika, msigwa....naona mmehamia kwenye personal attack kwa Mchange na kukwepa hoja....
 
Kwabahati mbaya leo nilikuwa safari hawa kenge walio leta ujuha kumtukana zitto! HAKUNA MAJUHA KAMA CDM MAISHA, HAKUNA MAZUZU KAMA CDM DUNIANI, HAKUNA WASAKA TONGE KAMA CDM ULIMWENGUNI, Mijitu inajua kusubiria matukio na si sera paka hawa!
 
Kwabahati mbaya leo nilikuwa safari hawa kenge walio leta ujuha kumtukana zitto! HAKUNA MAJUHA KAMA CDM MAISHA, HAKUNA MAZUZU KAMA CDM DUNIANI, HAKUNA WASAKA TONGE KAMA CDM ULIMWENGUNI, Mijitu inajua kusubiria matukio na si sera paka hawa!
sasa haya matusi ya nini? Mtu mwenyewe unajiita moto chini, endelea kuwashiwa moto huko chini.siasa achia wenye akili.
 
Hizi fact za mchange kule kwenye boxing tunaita Power Punch
 
yuda ni yuda tu.. huwezi kumwita Petro..mchange.. punguza njaa.. 2010 si uliuza ww na 2015 umeuza tena? ndoroooobo we

Kwa wenye akili timamu....hamna mtu mwenye sifa ya kufanana na yuda atajayemfikia Mbowe......unamdhalilisha Slaa kisa pesa za fisadi Lowasa?....

Haiyumkini ndio maana mnaitwa Nyumbu
 

....huyu mchange ana maumivu makali ya wao act kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa 2015.....kwa kelele zao kabla ya uchaguzi kwa kweli sasa wana haki ya kuumia sana sana...maana ni zitto kati yao aliyepata ubunge....na sasa wanaona chadema ndio walisababusha wao kuanguka vibaya ...kwa kumpokea lowassa...hili hata zitto mwenyewe kakiri...

...hawa kina mchange ni wapiga filimbi wa zitto ambao ni losers....wamebaki kumpigia filimbi zitto...
 
NYUMBU ni CCMscrow. Kwa miaka 50 wametumia maigizo wakidhani yataleta maendeleo. Na wafuasi wake wameendelea kusifia kama MAPIMBI!!

Sasa yameanza maigizo mapya, MANYUMBU ya CCMscrow kama kawaida kusifia.

Baadae wakishagundua ni fiksi, wanaanza kutafuta vijimaneno kujiliwaza.
 
Ndugu Mchange, kumbe Mtela Mwampamba ni CHADEMA? Kweli ulistahili kipigo cha Kibaha Mjini. Mwaka huu wananchi hawakukuchangia pesa za rufaa kwa kuogopa kuwa ungefanya kama 2010.

Ukweli unawauma....amewapiga power punch.... Kushindwa kwake haimaanishi kua alichosema ni uongo....

Mmemuuzia Lowasa chama na mkamdhalilisha mzee Slaa...mungu amewalipa hapa hapa duniani...

Ufisadi unazungumzwa nyie na fisadi wenu mmefichama huku mkikosa agenda.....mnabakia kumuandama zitto.....

Haitasaidia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…