barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Na lowassa mlisema hivyo hivyo, watu wakachinja! Bungeni labda poo ya kupiga kelele, sababu hata nguvu ya kuzuia mswada upinzani hawana! Au poo ipi wamaanisha?Tukutane bungeni kama hamjaomba poo
Mbunge mmoja wa ukawa ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Tukutane bungeni kama hamjaomba poo
Mbunge mmoja wa ukawa ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Mchange wewe ni miongoni mwa vijana wanaosababisha ACT kionekane ni chama cha hovyo.Huna utulivu,huna uwezo wa kujenga hoja na kuitetea.Lugha unayotumia inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.Huna future ya maana mwenye siasa ni bora angalia kitu kingine cha kufanya.
Mchange kaongea ukweli kabisaaa, Ukweli Kitilya kafanya makubwa sana pale TRA na yanaonekana, suala la ufisadi moyo kiza kinene.Bila habari hizi kuibuliwa nadhani hakuna ambaye angejua kuwa jamaa alihusika na ufisadi.
Tumuache Zitto afanye kazi yake, awatumikie watanzania tunaomhutaji.
Zitto ni jembe huwezi kulinganisha na chadema yeyote. Period.
Umsahau kitu kimoja sio chadema tuu...hata huko act..zitto ndio act na act ndio zitto....wengine wote inluding yule prof ni walamba miguuu....yeye ndie alfa na omega wa act
Na lowassa mlisema hivyo hivyo, watu wakachinja! Bungeni labda poo ya kupiga kelele, sababu hata nguvu ya kuzuia mswada upinzani hawana! Au poo ipi wamaanisha?