Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Usipige kura
Kura ya Ubunge UKAWA uraisi ni Magufuli
Usipige kura
Uamuzi makini, safi sana.Kura ya Ubunge UKAWA uraisi ni Magufuli
fanya hivi , kura zako zote wape ccm , kwani ni ngapi , si mojamoja tu ?Kura ya Ubunge UKAWA uraisi ni Magufuli
Mkuu mimi sijaenda shule,hivi Unataka kusema Lowasa ndiye alikuwa Kiongozi wa wabunge,Wanachama,viongozi na mwenyekiti wa ccm ambao kwa umoja na wingi wao ndio waliokwamisha rasimu ya pili ya katiba au sijakulewa mkuu?
Huyu jamaa kamwe hawezi kuongoza hili taifa...ataishia kuwa rais wa Ukiwa
nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunu kwa pesa na magari ya mashangingi,
pili,wameanza kupingia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakaekimia na wasionge ,
maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii,
nashauri
aliyeweza kumzibiti lowasa alikuwa nyerere peke yake ,
kwa sasa hili genge linaweza kuzibitiwa na mambo mawili
1, dora yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2, viongozi wa dini waongeza maombi hili mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wanasiasa wetu,
Ambamba akiwa rais wa nchi hii unikate kichwa,
Nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za Zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunua kwa pesa na magari ya mashangingi.
Pili,wameanza kupingia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakae kimya na wasiongee.
Maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii?
Nashauri: Aliyeweza kumdhibiti Lowassa alikuwa Nyerere peke yake.
Kwa sasa hili genge linaweza kudhibitiwa na mambo mawili
1. Dola yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2. Viongozi wa dini waongeza maombi hili Mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wanasiasa wetu.
fanya hivi , kura zako zote wape ccm , kwani ni ngapi , si mojamoja tu ?

hata mimi ni mwana c.c.m ila sina mahaba kwa chama kama wewe....!Nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za Zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunua kwa pesa na magari ya mashangingi.
Pili,wameanza kupigia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakae kimya na wasiongee.
Maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii?
Nashauri: Aliyeweza kumdhibiti Lowassa alikuwa Nyerere peke yake.
Kwa sasa hili genge linaweza kudhibitiwa na mambo mawili
1. Dola yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2. Viongozi wa dini waongeze maombi ili Mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wanasiasa wetu.