Generation Y

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Generation Y ni kundi la watu waliozaliwa kati ya 1990 na sasa.
kwanini wanaitwa Generation Y?
sikujua maana yake nini mpaka mchoraji kibonzo hiki aliponifafanulia...nimejifunza kitu kipya (wewe umejifunza nini)
 
Kwa upande wangu mimi nimetafsiri maana nyingine tofauti...ukiangalia kwa makini Y inaweza kuwakilisha vitu viwili...sehemu za siri za kike na za kiume...So generation Y ni generation ya kupenda mambo ya kuvuana chupi sana.
 
Tuheshimiane bwana mdogo! japokua napenda ile kitu lakini si kivile..
 
The phrase Generation Y first appeared in an August 1993 Ad Age editorial to describe teenagers of the day, which they defined as different from Generation X, and then aged 12 or younger (born after 1981), as well as the teenagers of the upcoming ten years.[SUP][17][/SUP] Since then, the company has sometimes used 1982 as the starting birth year for this generation.[SUP][18][/SUP] "Generation Y" alludes to a succession from "Generation X."
The name "Echo Boomers"[SUP][19][/SUP] refers to the size of the generation and its relation to the Baby Boomer generation.[SUP][20][/SUP]
 
waonyesha makalio, wakaa uchi, mashorobaro
 
Generation Y ni kundi la watu waliozaliwa kati ya 1990 na sasa.
kwanini wanaitwa Generation Y?
sikujua maana yake nini mpaka mchoraji kibonzo hiki aliponifafanulia...nimejifunza kitu kipya (wewe umejifunza nini)

Kweli mkuu Y not me?!!!........ngoja nijaribu Y na mimi
 
Kwa upande wangu mimi nimetafsiri maana nyingine tofauti...ukiangalia kwa makini Y inaweza kuwakilisha vitu viwili...sehemu za siri za kike na za kiume...So generation Y ni generation ya kupenda mambo ya kuvuana chupi sana.

Me yangu Z mbona!

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Generation Y ni kundi la watu waliozaliwa kati ya 1990 na sasa.
kwanini wanaitwa Generation Y?
sikujua maana yake nini mpaka mchoraji kibonzo hiki aliponifafanulia...nimejifunza kitu kipya (wewe umejifunza nini)

Generation ''Y'', Kizazi chenye kutawaliwa na swali Y/(why?) hata pale ambacho haistahili kuuliza bali inahitajika utendaji tu. Usifanye ngono zembe,'Y?', jisomee katika masaa yako ya ziada,'Y?'...........Y? Y?.....
 
Hahahahahaha vyengine havitaki upelelezi babaa...unatakiwa utengeze picha tu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Si nachungulia kidogo tu...ctamwambia mtu...itakuwa siri yetu.
 
au wapenda starehe anbao hawaogopi hata kupigwa 0713 ili kutimiza starehe ndogo ndogo zisababishwazo na vitamaa vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…