General knowledge for all: How to make symbols with keyboard

General knowledge for all: How to make symbols with keyboard

teh teh teh!mtoa hoja!

'unajuwa............mtoto mdogo kumwambia mtoto mdogo mwenzake atasema huyu muongo lakini mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzake kwa lugha iliyo nzuri ataweza kumwambia hujasema kweli au atamwambia umekosea labda tu kama anayesema ni mtoto kumwambia mtu mzima hatoweza kumwambia kiutu u-zima,mathalan................pengine wee umepokea taarifa kutoka kwa mtu mwingine kuwa fulani kafa na wee ukamwambia mtu then yule mtu uliyesema kafa ukapata taarifa kuwa hajafa sasa hapa nani ni muongo wewe uliyepata habari kutoka sehem nyingine au muongo ni yule aliyekwambia ile taarifa ya kifo na wee ukaisambaza kwa watu nani muongo hapa anyway,jibu linaweza likawa gumu lakini jibu liko hapo tayari NOBADIZ PAFEKT,ONLY GOD CAN JUDGE US'
 
Back
Top Bottom