Gender Balance na msukumo wa asili!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gender Balance na msukumo wa asili!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Jul 22, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kwanza na toa shukurani kwa Moderator kwakutuwezesha te kuwa hapa baada ya mainjinia wa jf kuwa katika mchakato wakuiwezesha jf iende sambamba na tekinolojia!!

  Mahudhui:


  Nimekuwa nikishawishika kusema hili neno la usawa(Gender Balance) Lina waumiza sana akina mama kwani nguvu ya asili ujikuta ikitawala nakushindwa kutimiza lengo la usawa!

  Mfano nawauliza Hao wenzetu kawa nini wamalizapo chakula pale 6x6 kwanini wao hulazimika kuosha vyombo??kwanini wasimwambie partiner wake naomba osha nawewe vyombo??Tukajua equal balance ina take place!!Watujulishe nini kinawasukuma kuosha vyombo wakati chakula wamekula wote???:clap2: Mpaka kieleweke!!!:target:
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  vikikoshwa vinakuwa vipya!! na wengine pia wanavitumia...!!
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Ndo sababu ya kukoshwa??je kama niwandani??kunakuwa na wengine wakuvitumia??
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Ushakuwa msumari huo!!!:focus:
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Washakukimbia
   
Loading...