Gender Balance na msukumo wa asili!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwanz na toa shukurani kwa Moderator kwakutuwezesha te kuwa hapa baada ya mainjinia wa jf kuwa katika mchakato wakuiwezesha jf iende sambamba na tekinolojia!!

Mahudhui:

Nimekuwa nikishawishika kusema hili neno la usawa(Gwnder Balance) Lina waumiza sana akina mama kwani nguvu ya asili ujikuta ikiwaingia nakushindwa kutimiza lengo la usawa!Mfano nawauliza Hao wenzetu kawa nini wamalizapo chakula pale 6x6 kwanini wao hulazimika kuosha vyombo??kwanini wasimwambie partiner wake naomba osha nawewe vyombo??Tukajua equal balance ikaenda sawa!!Watujulishe nini kinawasukuma kuosha vyombo wakati chakula wamekula wote???:clap2:
 
hahahahahahaaaaa!!!!!!!!!!!!!
halooooooooo halooooooooooooo!!!!!!!!!!!
no coments bt 1 line pls..........cz sisi ni wasafi ndo mana twaosha vyombo n u guys r .........ndo mana hamwoshi vessels afta 6 kwa 6 .
nawasilisha.:target:
 
hahahahahahaaaaa!!!!!!!!!!!!!
halooooooooo halooooooooooooo!!!!!!!!!!!
no coments bt 1 line pls..........cz sisi ni wasafi ndo mana twaosha vyombo n u guys r .........ndo mana hamwoshi vessels afta 6 kwa 6 .
nawasilisha.:target:
Utaoshaje kitu kisafi wewe?? Labda useme sisi ni wachafu nitakuelewa.
 
Da womanizer You said!!(Walioenda JKT kunakitu kinaitwa Kijaruba ndani yake kuna mdeki!!!Lol)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom