Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 8,177
- 13,141
Umesoma mada lakiniDah mkuu kama umeuliza ili swali achana na ndoa aisee,yan kwa kifupi bado haujui unachotaka mkuu..
Hili swali ni kati ya mwaswali ya ovyo huku jf ya kufungia huu mwaka..
Umesoma mada lakiniDah mkuu kama umeuliza ili swali achana na ndoa aisee,yan kwa kifupi bado haujui unachotaka mkuu..
Hili swali ni kati ya mwaswali ya ovyo huku jf ya kufungia huu mwaka..
Mada inasomeka vizuri tu. Wewe kama ni Gen -Z ulitaka akujibu vipi kwa mfano.Umesoma mada lakini
Mtoa mada kasema tumuulize yeye mkongwe wa ndoa kabda hatujaingia kwenye iyo taasisi that's why nimeulizaMada inasomeka vizuri tu. Wewe kama ni Gen -Z ulitaka akujibu vipi kwa mfano.