Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 60
- 244
Mlidhania ndoa nyepesi la hasha! ngoma inataka uvumilivu.mtuulize ss wazee tuwape experience ya ndoa.
Sawa, hivi kati ya manzi mwalimu na polisi nani ninaweza dumu nae kwenye ndoa
Mwalim ndio mpoleYupi kati ya hao ni mpole na yupi ni mchangamfu kama ulivyouliza kule?
Oa wote sheikh, utakuja kukumbuka maneno yangu ihiiiiiiiiMwalim ndio mpole
Mwalim ndio mpole
WhyChukua polisi
Inategemea na mnavyoishi kwenye ndoa yenuSawa, hivi kati ya manzi mwalimu na polisi nani ninaweza dumu nae kwenye ndoa
Ukikorofishana naye akuweke lupango cc Joanah
Chukua polisi wewe uwe unakula naye hela za rushwa na madili mengine.Sawa, hivi kati ya manzi mwalimu na polisi nani ninaweza dumu nae kwenye ndoa