Gen Z Oktoba 29 tulifanya kosa kubwa

Gen Z Oktoba 29 tulifanya kosa kubwa

Lech Poznan

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2025
Posts
450
Reaction score
585
October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe zinge karabatiwa na kuwa mpya na madawati yange nunuliwa na Watoto wetu wange furahia mazingira mazuri ya shule na tungewasaidia kusoma kwenye Mazingira mazuri

Hii Serikali ya Samuya inajisifu imejenga mashule lakini ukipita kwenye shule za Dar hakuna ujenzi mpya washule wala ukarabati wa shule za Msingi. Mkuu mkoa wa Dar ukimwambia akupeleke shule mpya zilizo jengwa na Samuya hawezi kukupeleka.

Huyu samua wakati wa utawala wake wa mwanzo mwanzo aliwaakuta wafanyabiashara wanauza bidhaa barabarani wakiwa wamezagaa yeye akawaondoa wote na kuwachomea masoko na akawaambia atawajengea Masoko mapya lakini mpaka sasa hakuna hata soko moja alilojenga kwa Dar, yeye anazani vijana walioandama wametoka nje, wakati Vijana walioandama ni wale aliowafukuza kufanyabiashara na kuwadanganya atawajengea masoko. Sasa yeye kwa akili yake alivyo wavunjia wamachinga bila kuwaoyesha sehemu ya kuuza bidhaa zao halafu anataka wananchi wa mpende, Yeye Mangufuli mjanja alikua ana walipisha elf 20 kwa mwaka na Vijana wakawa wauza bidhaa popote na uku Magufuli akifanya mambo yake ndiyo maana kwenye awamu ya Magufuli yaliitishwa Maandamamo mengi lakini wanqnchi hawakuitikia kwasababu wananchi wengi walikua bize na Biashara zao bila kuzumbuliwa na Wagambo, na awamu ya Magufuli aliwaondoa migambo wote mjini hakukua na mgambo anayefukunza wamachiga

Wananchi waliachwa free wafanye biashara zao mpaka mlangoni kwa mkuu wa mkoa, yani Vijana wengi walikua amejiajiri mitaani kwa biashara ndogo ndogo Walikua bize kupanga biashara popote pale wakajiisi nchi ni yao ndiyo maana walisusia maandamano.
 
Hii mbinu ni kali sana, kuna walimu shule moja chakavu wao walisema hawatafundisha mpaka shule ikarabatiwe na wao wajengewe nyumba za kuishi huko ili wafundishe vema. Fasta halmashauri ilijenga nyumba za walimu kwanza na kisha kufumua madarasa na kujenga mapya. Hao walimu walikuwa majasiri
 
Kuna shule nimepita leo nimeona fundi anaziba viraka vya mashimo yaliyotokea darasani

Badala ya kuvunja floor yote na kuanza na upya na hii likizo ndo mda mzuri
 
Back
Top Bottom