Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Naona picha inamuonyesha akiwa kavaa saa mikono yote miwili. Nadhani alikuwa bishoo sana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapana mkuu. Saa moja kwa ajili ya majira ya mashariki ya kati. Na saa nyingine kwa majira ya marekani.
Kama ardhi kummeza itammeza tu, lakini amekufa kifo kizuri tu ambacho kila binadamu atapenda afe, siyo kama kile cha mjomba Saddam au jomba Ghadaffi. Kun watu wameumbwa ili kuwa watawala, wengine watawaliwa tu, sasa ole wako ulazishe kama alivyofanya Saddam!Naona picha inamuonyesha akiwa na soda iliyoandikwa kiarabu; nadhani hapa ni wakati yupo kule Kuwait wakati wa Operations Desert Storm!
Watakutana na Saddam! Hata ukiwa mmbabe namna gani lakini ardhi itakumeza tu.
Nasikia na mzee Bush (Amiri Jeshi Mkuu wake) naye yupo hoi Kitandani!
Kama ardhi kummeza itammeza tu, lakini amekufa kifo kizuri tu ambacho kila binadamu atapenda afe, siyo kama kile cha mjomba Saddam au jomba Ghadaffi. Kun watu wameumbwa ili kuwa watawala, wengine watawaliwa tu, sasa ole wako ulazishe kama alivyofanya Saddam!