Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

'Alisema kuwa kama diwani hataridhika wananchi hao kukubali kuachia maeneo yao kwa ajili ya uchimbaji huo kwa maneno pekee, bali atahakikisha wanaandikishana ili kukwepa lawama hapo baadaye na baadaye muhtasari huo watamkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Charles Mabeho'

Kwa Kauli hiyo hapo lazima kutatokea Vifo
Siyo kama diwani hataridhika......isomeke kamwe diwani hataridhika........
 
Back
Top Bottom