haya mkuu salam kwa erick
Teh huko ni nomaaa...ila shinyanga si haba sana....Ericky braza nimeshafika kwa wakina mwadillaaah!..BAKURUTU ni nomaa...wanakwamba hii ni sehemu ya anasa...eti nao wanasema laki si pesa!..duh...aya nambie kijana
Safi kabisa...leo nimeamua kuimalizia weekend kwa kucheza mpira...
lol shughuli si mchezo
weeeeeeeeeeeeeeeeh!!! basi naaaaanza kumkwepa!
kwani uko mwanza???
Teh huko ni nomaaa...ila shinyanga si haba sana....
Ukitoka geita pitia mwanza....huko ntakupa campany ya kutosha....
MIE ndio natoka kupunguza mafuta mwilini
We ndo bange....kwani nikikwambia inishtue ndo niko shy??na ww uko kama sigara nyota!..hujulikani mbele wapi,nyuma wapi...mara nikifika shy nikushtue...mara mwanza...ebo!..bro bangi bado hazijatoka kichwani sio?
huyu nae ni tapeli tu...haelewekagi..yuko kama yai!
na ww uko kama sigara nyota!..hujulikani mbele wapi,nyuma wapi...mara nikifika shy nikushtue...mara mwanza...ebo!..bro bangi bado hazijatoka kichwani sio?
Na wewe nae! unambadilikia kila mtu!!
nasubiri....... nitafutie wana JF wa Geita sasa
aha haah ah aha kumbe ni huko!!
Khaaa wifi..Mtafute SL
bado nipo