Geita: Mahabusu 17 watoroka Mahakamani

Geita: Mahabusu 17 watoroka Mahakamani

Hasira ya polisi kumuogopa mkulu ..wataswagwa watu huko ...
 
walipojua kikao ni kuanzia mei 20 hadi juni 16 wakajua hawana cha zaidi ya kuhonga askari. HAPO ASKARI ALIJIFANYA MJANJA KAENDA KULEWA MASELA WAKAPITA ZAO HIVI....... au aliingia chumba cha mahabusu wa kike kugwajiboy....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati wenzako wanatoroka ole wako ubaki nyuma yaani wenzako wanasepa halafu ww useme una case ndogo usisepe, aisee hicho kichapo utachochezea mpaka utachakaa watakuwa wanakuuliza wakati wenzako wanatoroka kwa nini hukupiga yowe!
Khaa! Kumbe ndo inakuwaga hivyo?
 
Sasa hivi wapo Kenya, hawatadakwa tena, wengine wataingia S.Africa..... Wengine wakiingia Congo ndiyo imesha toka hutamdaka tena.... Wakiingia Zambia ni rahisi kuja kudakwa
 
RPC Mchonjoli amewakamata hawa watuhumiwa aliowaachia? Kama bado nasisitiza ajiuzulu
 
Yaani RPC anakunywa konyagi ilhali watuhumiwa wanazidi kuchanja mbuga. Ningesikia japo amekamata angalau 16. Sasa huyu hata mmoja? Halafu mtu aseme hakuna kitu alipeanwa na hawa wahalifu.
 
Back
Top Bottom